Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@omar_alghamdi86: #سلطان_الهاجري #تصميم_فيديوهات🎶🎤🎬 #اكسبلورexplore #اكسبلور #شعر
💎𝒪𝓂𝒶𝓇 𝒜ℓℊℎ𝒶𝓂𝒹𝒾☞²⁰³⁰
Open In TikTok:
Region: SA
Wednesday 04 November 2026 08:57:28 GMT
41900
2295
9
140
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.63MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.63MB
)
Watermark .mp4 (
0.63MB
)
Music .mp3
Comments
ملك الصموات A :
صح الله لسانك والله
2026-11-06 19:55:35
2
ســــ؏ــــٓد آل زبـــيد :
هنا التقت سفن الصحراء بسفن البحار 💔
2026-11-07 13:27:36
1
المهيب 🇮🇶39 :
باب المندب
2026-11-07 09:20:02
1
محمد اليافعي 📸y-10 :
الابل تقول : انا القوافل لدروب الخطيره : ولعلم عند الله انا الاوله ولاخيره
2026-11-07 14:10:57
0
غالي العويلي :
سفن السحرا البل
2026-11-07 05:26:11
1
دٍآر آلَبًـــکْآء :
🇮🇶🇸🇦💖
2026-11-06 03:44:57
1
دٍآر آلَبًـــکْآء :
🥰🥰🥰❤️❤️❤️
2026-11-06 03:44:24
1
عمر عادل 🇮🇶 🦅 :
❤️❤️❤️
2026-11-07 06:36:29
0
ابو محمد الرشيدي ✌🏻حميد :
[مؤثر][مؤثر][مؤثر]
2026-11-07 16:37:46
0
To see more videos from user @omar_alghamdi86, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Typical day of eating 🍴🍵 you can get 15% @Oats Overnight with the code: SPOONFREE15 #glutenfree #oatsovernight #ditchthespoon #oatmeal #healthybreakfast #sahm #whatieatinaday #sahwm
#auto #voiture #automobile
Njia 10 za Kumfanya Mwanaume Akumisi Hata Kama Alikuacha Bila Sababu;1. Kubali Ukweli na Acha Kulazimisha Mambo Wanawake wengi hukosea hapa—wanapojaribu kupigania mtu aliyeshaondoka. Ukweli ni kwamba, mtu akiamua kuondoka, huwezi kumbadilisha kwa nguvu. Ukikubali hali kwa utulivu, unaanza kujijenga upya na kuondoa taswira ya utegemezi.onyesha mabadiliko ndani yako, usilalamike umekuacha Mwanaume huanza kukumisi pale anapoona haukumkimbilia wala kulia nyuma yake. 2. Kata Mawasiliano Kabisa (No Contact Rule) Hii ni silaha kubwa sana. Usimpigie simumara kwa mara, wala usimtumie meseji, usiulizie habari zake kwa watu. Kwa nini hii inafanya kazi? Kwa sababu wanaume wengi huondoka wakijua bado wana nafasi ya kurudi wakati wowote. Ukikatika ghafla, akili yake inaanza kuuliza: “Yuko wapi? Anaendeleaje?” Ukimpa nafasi ya kukukosa, ndipo hisia zake zinaamka na kuanza kukumisi zaidi. 3. Jenga Thamani Yako Binafsi (Self-Worth) Usijione kama uliyekataliwa—jione kama mtu wa thamani aliyepotezwa. Fanya mambo yatakayokuongezea heshima: Jifunze kitu kipya Fanya kazi au biashara Jenga maisha yako Mwanaume hamisi mtu aliyekuwa tegemezi, anangalia thamani yako . 4. Fanya Mabadiliko ya Kweli (Glow-Up ya Ndani na Nje) Hapa sio tu kuvaa vizuri—ni mabadiliko ya jumla: Muonekano (usafi, mtindo, afya) Mawazo (kujiamini, kuacha kumfikilia,kuwa busy na malengo yako. 👉 Ukibadilika kwa kweli, ataendelea kuumiza akilii zaidi juu yako na kukumisi akikuona, anashtuka. 5. Ishi Maisha Yenye Furaha Bila Yeye Usijifungie ndani ukimlilia. Toka, tembea, cheka na marafiki, fanya mambo yanayokufurahisha. Hakuna kitu kinachomuumiza mwanaume kama kuona unaendelea vizuri bila yeye. 6. Epuka Drama, Matusi na Kulalamika Mitandaoni Wanawake wengi huharibu hapa: Wanapost maumivu Wanamchafua mwanaume Wanatafuta huruma Hii hupunguza thamani yako. Ukikaa kimya na kuendelea na maisha, unakuwa na nguvu zaidi kuliko anayepiga kelele ndivyo atazidi kuona thamani yako kwake. 7. Jifunze Kuwa na Mipaka (Boundaries) Usikubali tena tabia ile ile iliyomfanya akuache. Hata akirudi: Usipatikane kirahisi, Usikubali kila kitu, Wanaume huheshimu mwanamke anayejiheshimu. 8. Tumia Ukimya Wenye Maana Sio lazima uongee ili ujumbe ufike. Ukimya wako unaweza kusema: “Nina amani” “Nimeendelea” “Sikuhitaji” 1Ukimya huu unamfanya mwanaume zaidi kuliko maneno. 9. Usimsubiri—Endelea na Maisha Yako Hii ni muhimu sana. Jishughulishe na malengo yako, Jenga maisha unayoyataka, Ongeza mvuto wako , Mwanaume humisi zaidi mwanamke ambaye ameendelea kweli, kuwa bora zaidi . 10. Akiamua Kurudi—Chagua kwa Akili, akirudi kwanza Jiulize: Amebadilika kweli? Au amekukosa tu kwa muda? Ukisimama kwenye thamani yako, unamfanya mwanaume ajue kuwa amepoteza kweli mtu wa maana. mwanaume Kukupoteza wewe ataanza kujialaum ilikuwa hasara—na atajitahidi kurudi kwako. 🔑#USHAURI MUHIMU❤️ Usijaribu kumfanya mwanaume arudi kwa nguvu. Vitu vya mhimu vya kuzingatia; Jenga maisha yako, jipende wewe mwenyewekwanza kuwa msafi, tengeneza muonekano wako (usafi, mavazi, kujiamini), jipe nafasi, na onyesha mabadiliko ya kwako usimtafute mara kwa mara au kumtumia ujumbe, jenga maisha yako kwanza tafuta hela, usiwe unaonyesha huwezi kuishi bila yeye,kuwa na furaha, si huzuni kila muda, acha kumlazimisha, na simama kwenye thamani yako. Kama bado anakupenda ataanza kuvutia na wewe na ataona tofauti ndani yako, ataanza kufikiria kurudi mwenyewe. Na kama hatarudi, ujue kuna sababu—na wewe bado una thamani, na unaweza kupata mtu atakayekupenda kwa heshima na amani bila kulazimisha tambua una nafsi kubwa sana🙏 #fyp#profession #Relationship
INSTANT KARMA 😂
#ملتیا_مې_وکړه📚
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy