@mbwanaabdalla256: wazanzibar wajiandae na ujio wa chuo kipya cha ubaharia kwa kozi mbalimbali zitatolewa

MSN MEDIA
MSN MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 10:05:43 GMT
3755
175
17
20

Music

Download

Comments

barazaahmedy
Ahmedy :
wekani na chuo cha mambo ya mashine za bandari
2026-11-10 21:32:48
0
burhan.ali1891
Burhan Ali :
vipi kuhusu mandatory corse mutatoa huduma au ni kwasjil ya maoficcer tu
2026-11-20 04:01:28
0
ansjxjshhhhhh
+255 :
Jambo zuri sana ila na katika utoaji wa vyeti tungependa zma wahusike na ilo sio kwenda kusumbuliwa tasac
2026-11-05 07:04:00
2
user4559945111328
mzungu :
project hiyo inatarajiwa kumalizia baada ya muda gani
2026-11-11 08:13:20
0
ashermedymeddy
Ummu NafNakh :
ZMI kwani imeenda wapi
2026-11-04 18:06:25
2
kassimnero
Kassim nero :
vyeti vijitemee kama Zanzibar
2026-11-18 22:45:49
0
user360797921
Ali :
kama sikupata cheti formfor naweza kujiunga au vp nahitaji hio fursa
2026-11-16 16:31:34
0
twalib47marine00
Twaha/ENGINEER :
kila kitu kiwepo apo ishaallah
2026-11-18 09:38:57
0
bin.mkata
Jonathan :
good job
2026-11-05 02:52:29
2
saidkamaria
saidkamaria :
zinaaza lini
2026-11-15 19:00:17
0
To see more videos from user @mbwanaabdalla256, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About