Eee Mungu Tunakuomba kaaa upande wetu.....Jehova tutteteee hiii dhahabu imechakatwa kwenye moto Sasa naomba itoke jmni
2026-11-04 18:32:48
4
Debora Zabron :
free tundu jmn
2026-11-05 07:28:31
0
deigratia0 :
ee mungu sisi hatuna dola yoyote baba Bali tunategemea dola yako mungu sikiliza sauti zitokazo nyikani poker sala zetu na maombi yetu tunakulilia mungu hatuna mtu hapa Duniani Bali ni ww tunaomba ùmfunike kwa damu yako tundu lisuuu