@islamicswahilinet: DUA YA KUJIKINGA NA MAADUI NA SHARI ZA VIUMBE Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 10:47:22 GMT
Music
Download
Comments
🎀 𝑍𝑒𝑒𝑛𝑎𝑡𝑦 𝑏𝑎𝑏𝑦🎀🎀 :
𝐴𝑚𝑒𝑛 𝐴𝑚𝑒𝑛🤲🤲
2026-11-04 10:50:49
9
D MUSIC👑📿📜🔐 :
amini [Pray]
2026-11-04 11:15:47
6
Sharifa Salumu :
amiiiin
2026-11-04 11:13:16
6
Mcee Dooh Money :
Allah ni epushe na shari na hasad za wanadamu WENYE uadui na mimi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-11-05 04:07:43
4
Amiry shant :
amiin amiin
2026-11-04 10:52:47
4
malebo :
[Red heart][Red heart]
2026-11-06 05:58:57
1
Thumlove colĺection :
Ameen yarrab
2026-11-04 11:51:48
3
RamrahClassik :
Amin yarraby
2026-11-05 13:49:38
2
Meena Rules :
Ameen
2026-11-04 13:27:16
2
minaty 💓🔐💞 :
amiiin amiiin amiiin
2026-11-05 08:25:59
0
Sweet tuma :
Ameen thuma ameen🥺🤲
2026-11-04 16:57:10
2
user6367757512049 :
@llah
2026-11-04 12:30:28
2
Zamzam :
Amina
2026-11-04 11:30:11
3
scar :
Amiin
2026-11-04 12:39:04
2
Mcee Dooh Money :
Amiin 🙏🙏🙏
2026-11-05 04:05:50
1
Fadhira Kaiza :
ameen
2026-11-04 14:54:06
2
Gregory Kweyu :
Ameen
2026-11-05 20:09:24
1
Wilka Gareh🦁 :
Ameen Ameen Ameen
2026-11-05 16:34:39
1
dizznats :
AMEEN
2026-11-04 18:49:55
1
Imran Ali :
ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR
2026-11-06 21:19:27
1
Hassan Salimu :
Amiin
2026-11-04 18:15:53
1
mamushka :
ameen
2026-11-05 03:15:08
1
momo mimha :
Ameena
2026-11-04 12:57:39
2
Halima Milaji :
Alllahumma amiin thumma amiin 🤲🤲🤲
2026-11-04 14:19:16
2
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.