@uhondo.tv: Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, @officialbabalevo, amehoji matumizi ya bajeti ya Shilingi bilioni 338 iliyotengwa kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Arusha, akitaka ufafanuzi kuhusu fedha hizo zinavyotumika katika mradi huo. Je, una maoni gani kuhusu hoja hii? 👇
Uhondo TV
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 10:59:29 GMT
Music
Download
Comments
husseninho :
uyoo 2030 atumuoni tn bungeni anapenda sn kusem ukweliiiii
2026-11-04 12:31:46
200
#Mungu na watu wake :
Baba Levi kwanzia Leo wewe ni baba yangu
2026-11-04 11:18:10
202
king Daniel💯 :
wanakigoma mmepata[Perfect score]
2026-11-04 17:45:53
0
lubricants dodoma :
hii nchi kesho nahama na mke wangu 😂
2026-11-04 12:13:47
68
Dr Nasser :
Very facts
2026-11-04 14:41:54
0
sajad wakaja :
ayo yote muulize kiongoz wenu mkuu
2026-11-04 12:01:33
32
Mturuki_halisi :
toka nikijue Leo ndo umeongea point sana baba
2026-11-04 12:39:26
31
MR DANIELI!! :
naenda kujenga dar kumbe smenti 16000
2026-11-04 12:27:20
16
Tikoma :
Hongera sana
naendelea kuamini
kujenga hoja sio lazima uwe ma Madgriii mengi
2026-11-04 12:32:04
22
munanjiku30 :
kwani uwanja wenyewe unasemaje?
2026-11-04 12:37:21
19
Samson Azory :
huyu Baba Levo Anawapelekea Moto sana😂😂
2026-11-04 11:44:10
32
peter :
baba levo on fire 🔥 🙌 👌 👏
2026-11-04 12:58:14
15
mwita machage :
mara pesa ya watanzania mara pesa ya Samia Sasa tuelewe vpi?.
2026-11-04 12:25:16
15
stellah ❤️🇹🇿 :
uchaguz ujao utakuwa rais sawa unaweza kutufikisha nchi ya ahadi
2026-11-04 14:10:08
16
user7661755733082 :
kwishaaaaa
2026-11-04 13:44:47
0
dmkali5 :
Mkiweza kubadili katiba basi hzi hazitokea kelele tena bungeni Bali itakuwa ni kazi na hoja za kutekeleza
2026-11-04 12:25:02
19
MSOMALI TRENDING🇸🇴 :
nyie mtajua wenyewe bhana gombaneni ccm kwa ccm
2026-11-04 12:16:15
29
Parker06 :
Tulipata kina babalevo kumi kama huyu tutayajua mengi sana
2026-11-04 12:47:19
21
godwinsalleh176 :
Huyu jamaa wampe nafasi
2026-11-04 12:50:55
8
Masika Owen :
bilion 700 athali za elf Nino nzovwe nyumba zimeenda na maji
2026-11-04 12:59:25
6
moobstock :
mbona kawa nakuelewa sana ivi
2026-11-04 12:02:00
14
Amos Nyamaka :
acha waiibe kitakacho Baki mtatupatia
2026-11-04 12:54:11
7
dmkali5 :
Ila je mnakumbuka kauli ya mama baada ya report ya CAG lakin au mnaongea tu hpo
2026-11-04 12:33:00
10
Ndenzako komesha👏 :
daaa kwel unavitu vyetu mh Mungu akulinde
2026-11-04 12:28:35
8
vumbi la ulowa :
uwanja wa bayarn Munich Una bilioni miamoja sabini
2026-11-04 12:13:16
11
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.