@djbackdizzo3: Mkiwa hakishukuru wageni walikwa hapo#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #viralvideo #challenge

Dj Misumari ya🔥🔥🔥
Dj Misumari ya🔥🔥🔥
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 11:05:43 GMT
41542
1871
90
450

Music

Download

Comments

aggy_charlz
KUCHI🐤🎧🎤 :
challenge hii wakuu
2026-11-05 03:40:12
11
da...yuu
𝔻𝔸 𝕐𝕌𝕌•💎🌺 :
Msiifanyie challenge jamani [Tears of joy]
2026-11-05 04:48:38
1
hopwi18
Ms_Hopwi18 :
jina lomenitoka la huyuu mama jamanii...daah toka nakua mpk sasa yuko hivyo aiseee[Pray]
2026-11-04 18:54:52
6
am__jaja
Jaja_tembo101 :
Dah kumbe bado yuko hai,Mungu aendelee kumuweka,i hope ndio yeye from Mwananyamala
2026-11-05 04:41:24
5
kheiryblossom
kheiry blossom :
challenge
2026-11-05 10:37:48
0
mariamfaraji813
Mariam Faraji :
mumsaidie mama aende hospital awahiwe Dawa ya ngozi jamani mumjali afya ndio mtaji
2026-11-04 22:31:01
4
abdulblackamerica
Abdulrahman Said942 :
new challenge 🤣🤣🤣🤣
2026-11-05 08:53:19
0
shamsa.mrishoyahoo
shammy💕💞 :
daaah!!nimejikuta nalia 🥺🥺Mama ni mama wallah wapendeni mama zenu nyie mlionao hata aweje lkn uwepo unaleta furaha na raha moyoni
2026-11-05 03:58:04
8
mammy.fia
Mammy fia :
Jmn naombeni da chima dee asiione hii
2026-11-05 07:31:24
1
aishasaid6638
Aisha Said :
ashashante shana😁
2026-11-05 04:27:23
4
binti_hassani
bint_hassani :
🥰hakuna kama mama jaman 🥲pumzika kwa aman mama yang mwanao ndug uloniachia 😭😭😭nimelia live alaf nipo kibanda cha kiepe hapa jaman
2026-11-04 18:40:38
4
reykimdory2
Reykimdory :
mama ni mama mkiwa hongera
2026-11-04 20:23:19
8
hawasalum240
hawa salum :
hakuna kama mama😭😭 mkiwa
2026-11-04 22:46:41
6
madame.hajrat
Madame Brand🤗😍 :
Mkiwa jaman kitambo🥰😂
2026-11-05 05:07:19
2
moshi.rashidi.msa
Moshi rashidi Msabila :
hongera mama mahamudu hakuna kama mama mama ni mama hata aweje atabaki kuwa na cheo cha juu
2026-11-05 05:14:29
3
salim.masoud05
Salim Masoud :
inasikitisha lakini ndio maisha
2026-11-05 04:12:11
2
vmoney.73
vmoney 73 :
allah akutunze
2026-11-05 07:20:10
1
nestorbhai1
Nestor Bhai :
hii imeenda 🤣
2026-11-05 07:08:23
1
user5211638362926
pily :
😂😂jmn mkiwa
2026-11-05 05:55:56
1
yusla.athumani
Yusla Athumani :
hongela mkiwa mwaya mahamudu mlinde mamako
2026-11-05 07:55:55
1
zainab.machupa
Zainab Machupa :
duu htriiiii mkiwa namjua mungu ambariki wanae wamekua heeee
2026-11-05 07:17:07
1
.mammy.sam
🥰 mammy sam 🥰 :
dah mkiwa mungu akutunze
2026-11-05 06:33:13
1
judith.komu
Judith Komu :
mungu akutunze hakika mungu mwaminifu sana mama ni mama jamani hongera mkiwa
2026-11-05 07:11:07
1
debaraka12
Baraka :
😂😂😂 vijana ushawapa challenge mpya
2026-11-05 07:56:18
0
user4701881530467
saida hassan 💥💞 :
mwenyezimungu mkubwa sana mwenyezimungu mtiye nguvu naumlimlefu mkiwa inshalla
2026-11-05 06:14:21
1
To see more videos from user @djbackdizzo3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About