@salsha_cakes: #salsha_cakes #fypシ゚viral #tiktok #muslim #dua

salsha_cakes
salsha_cakes
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 11:50:40 GMT
40910
3340
141
807

Music

Download

Comments

missesha19
Esha_lengesha :
yasin warrada ndy suratul yaasin au😳
2026-11-04 17:00:24
1
zeynab10151
zeynab🤗💍 :
Naisoma yaasin waradda kila ninapomalza swalatul fajir 🥰
2026-11-04 16:07:51
20
dadieyove__
Lyovan_boi_tz :
kuna hiyo kubwa kuliko ya masad unaswali rakaa mbili rakaa 1 - suratul fatha + alam tala mara 10 rakaa 2 - suratul fatha + zilzalaha mara 10 ukimaliza rakaa zako unaanza vita sasa una soma yasin moja tu katika kila aya inayoishia mubin unasoma suratil masad 111 bila bismillah utafanya ivyo katika mubin zote 7 kwa idadi ya 111
2026-11-04 16:09:54
56
simbahawa5
Esmah Apartments & Real Estate :
hkppţklpiuoudjkxkdiificie88r89f9e399e9e949393949r99r99r9r9r98r8r99r98r8r88f99f9f99f9f9f8f99f90e9to999909999oofo00
2026-11-05 20:37:18
0
salkhvwajsi
sallymuu :
Kuna Surat fiil nayo 313 Ni moto
2026-11-04 13:20:15
41
halimaathumani46
H :
Asante dada kama kawaida. Mola akurahishie maisha leo duniani na kesho akhera.
2026-11-04 12:31:12
24
yumna.hassan0
✌🏽Yaya brownsugar 🤞🏾 :
Naisoma san yassin waradda. Watajijuwa wenyewe wala staki kuwajuwa Lkn naona kapotea mume wangu hshaeeeeeeeeeweeeee Nyieeee????? Musijaribuuuu
2026-11-04 16:12:08
18
asnarealmofath1
BnL collection 0718916167 :
kwanini tusisamehe🥺🥺🥺🥺 allah amefundisha kusamehe pia
2026-11-04 16:51:19
4
mjukuu.wa.bibi3
Mjukuu Wa Hawa :
Nikweli kunamtu alinidhurumi nikaelwkezwa hii sura nikaisoma Yaani hadi namuonea huruma haikopeahi hii sura wallah Nina ushahidi
2026-11-04 22:11:14
2
soshicakes279
soshicakes279 :
Mtu anirudishe hapa please
2026-11-04 21:34:54
2
shammy.shammy775
ShammyD❤️ :
Mnahesabuje jmn mi kusoma na hesabu ndo nashindwa mwenzenu jmn
2026-11-05 07:18:33
1
iptie.fatie
Iptie Fatie :
Jamn yasin waradda haijanipa majib je unaisoma mda gan
2026-11-04 16:09:00
1
aiman.7861
Mrs Raza :
hii surah inaitwa surat ul Lahab pia
2026-11-04 15:34:54
6
adia.shaabani
Adia Shaabani :
Dada Allaah akubariki mpk ushangae kuna hyo moja ulisema kuhusu surat dhuhaa Awee nimejibiwa mpk nashangaa..cha kukulipa sina ila nakupenda mnoo ..Allaah akubariki katika utafutaji wako kipenzi 🥰🥰
2026-11-04 16:18:49
2
nurdinnurdini
dassi :
toa sauti bc
2026-11-05 08:19:45
0
rommeytea
我是罗姆米茶 :
Mimi natak afee kbsaa
2026-11-05 05:17:37
0
ummyyibrahim
MAGIDA HERBAL CARE :
yassen warada🙌🏾🙌🏾🙌🏾 ubarikiwe dada nina USHUHUDA WALLAH
2026-11-05 08:46:40
1
miskiyaabubakar
miskiyaabubakar :
unapika nn
2026-11-04 21:54:48
0
its_me_mood_
Habboob_al mabelah :
inshallah leo naisoma itayo mgusa kazini na mwenye nia mbaya shauri yake
2026-11-04 12:27:22
1
tmqualityfurniture4
T and M furniture ❤️ :
Nmeota ndoto hiyo wee😂😂😂 waende tu siwataki
2026-11-04 21:47:37
2
nareen598
Nasreen :
Asante Dada kwakutupa vitu vizuri
2026-11-04 20:00:39
2
mohspice.254
Hamso :
Thank you ntaisoma
2026-11-05 02:50:42
1
user88127871547808
Binti Imran Nyamahatibu :
Shukran dada. umetaka kutusaidia. it shows from the way you are explaining. May Allah bless you, and us all. Ameen.
2026-11-04 16:10:36
1
habiscuss.flower
Habiscuss Flower 🇹🇿🇿🇦 :
shukran
2026-11-04 19:06:51
1
To see more videos from user @salsha_cakes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About