@the.realdia: Nisipo kuwepo ndio wapika minyama yote hii😳💔

Dia
Dia
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 12:39:56 GMT
378067
21248
314
706

Music

Download

Comments

user422965033743
user422965033743 :
sasa wewe mwanaume unajua vitu vyote ivyo sasa mimi ninani???
2026-11-04 14:02:40
338
delovie22
@delove💞 :
Kuna vitu vingine ata sivijui apo😂😂
2026-11-04 15:26:07
186
zkhalid51
zkhalid5 :
upo wap unioe ili unipikie 😂
2026-11-07 07:22:13
4
neyan_tracy
Ms. lillie💕 :
Ila lugha yako mwanetu imebidi nifikirie marambili mbili, kumbe uvinza ni chumvi[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-04 18:14:37
83
sianecakes
sianecakes 🇹🇿 :
Hapo Kwenye Njombe 🤣🤣🤣🤣
2026-11-04 13:55:59
85
user3794554104077
Nancy 🦋🦋⚘️ :
Katika vuungo vyote naijua chumvi tuu 😂
2026-11-04 16:48:05
36
keen1.9
Keen🥵💸😂💜🤭 :
rosemary is such a strong ingredient a small leaf goes a long way, for me inanishinda kula ikiwa nyingi 🥹🥹🥹
2026-11-08 12:29:48
0
user6305663855615
mariamu :
ata tuowa nani jmn uwiiii
2026-11-04 14:58:41
19
fellymer24
Ms marungi 🤍 :
Kaka unaweza ata kupika maisha yangu🤣
2026-11-04 14:16:35
26
gemini_909
gemini💕 :
watu mnajipenda
2026-11-04 14:31:56
13
mother.of.usa78
Mother of usa :
jmn mafuta ya taa yanaitwaje Kwa kingereza msaada jmn
2026-11-06 07:37:54
0
sophia.gibwage
so🔥💕 :
jaman kwel saiv cooking oil ndo mwamposa guys😂😂
2026-11-06 20:03:59
0
keda.champion
♛ 𝐊𝐄𝐃𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐌𝐏𝐈𝐎𝐍 ♛ :
uvinza ni chumvi mwamposa ni mafuta njombe ni baridi utamu wa nyani ni ndizi
2026-11-05 17:42:51
0
baranafrika
Baran Afrika :
nyama zote hizo unamaliza
2026-11-05 08:54:50
0
jeavanny478
Jeavanny-47 ♑ :
10/10 nalip kwa uwaminif 😂
2026-11-05 04:36:08
0
stunning.queen17
😍Stunning queen 👑 :
kwann njombe lakn 🥹
2026-11-08 07:33:36
1
zainab58560
ummu imraan :
iyo mango packie taipta wp
2026-11-07 16:52:28
0
madame2519
Madame :
vitu vingi sivijui apo alafu me wa kike😥
2026-11-07 04:03:34
2
user5420611781409
𝑅𝑒𝑦𝑝𝑎𝑡𝑟𝑦🌀 :
nishagundua kupika saiv sio ticket ya ndoa wacha nifocus na usuper woman😅
2026-11-06 21:39:54
2
tabithar.suleiman
T🦋shine :
Kanza iyo sio nusu nikiro 🥺
2026-11-05 07:48:21
0
mariam_stephano
Miss Mary ♥️🎀 :
Unaweza pika mpaka maisha yangu wew😅😅🙌🏽
2026-11-06 07:02:46
2
salmaabdalah68gmail.com
IT'S MIMAH 🇹🇿🇴🇲 :
stakii kauminii wif akisemaa elfu 10 aitoshii kama utamuelewaa😅😅😅😅😅😅
2026-11-05 09:30:15
3
user5979268479918
madame v :
hiyo nyama nusu kweli😂😂
2026-11-05 09:12:29
0
bebymom28
Beby mom :
loz meri ndo nimeijua leo😳😳
2026-11-05 06:56:44
0
caryn.chitty
Caryn Chitty :
hiyo ya kuchomea mishikaki inapatikana wapi
2026-11-05 09:41:47
0
To see more videos from user @the.realdia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About