Ai ni mpinga kristo kabisa kinacho takiwa ni kujaa roho mtakatifu 🙏🙏
2026-11-06 04:51:09
22
Angelina :
duuuuh mungu 🙏🙏 nilipotumia Ai natubu zambi hii
2026-11-06 08:44:16
13
Yesu yu hai :
nakushukulu sana mtumishi kumbe sitakiwi kusikiliza adi nyimbo za Ai. Nimeelewa sana
2026-11-05 09:36:23
9
God first for life :
nilitaman sana mtumishi mmoja aongelee hili nashukuru mungu umeonekana mtumishi mungu akubariki sanaaa🙏
2026-11-23 10:12:11
4
Rehema Kilima :
ahsante baba kwakutuamsha mungu atusamehe
2026-11-04 21:18:00
5
Nuru ya ulimwengu :
Nmekuelewa Lakin kumuuliza Ai kwamb neno fulani linapatikana wap has a nikiwa namtafuta mstari tupo kweny mabishano kila mtu anatafuta point ya kuiyeyea hapo Ai siiachi na sitak kushauriwa Lakin kuandaliwa mahubiri na AI apo siwez Lakin hata ndoto kanitafsiria sana
2026-11-05 17:05:33
1
Millah R.Makoti :
asante sana baba ngoja kabisa nifute na nyimbo zao
2026-11-05 10:38:42
1
Comfortgodson429 :
lakini mbona AI ukiingia wasap ukimtumia vizuri kwa habari ya biblia andiko ambalo umesahau anaweza KUKWAMBIA hili andiko linapatikana kitabu furani na ukimhoji habari ya. maswali ya biblia anakujib
swali langu je INATEGEMEA na mkristo huyo anavyo mtumia au ndo bado na Mimi sijaelewa Ety jmni musaada tafadhali🙏🙏🙏💗
2026-11-20 07:37:03
0
Godlove in Wheels :
naacha rasmi kutumia AI kwenye mambo ya kiroho🙌
2026-11-04 17:50:46
12
Maalim Rajabu Milanzi :
Tatizo sio Ai tatizo ni wale wanao contro hiyo Ai kwani wao ndio wanaongoza mitandao na sistym zote . inamana ujiio Dajjari au mpinga kristo .Au ni shetani Au ina uwa Roho na mwili Ai inaiba siri za wanadamu Ai ni Hatari kubwa kwa binadamu. ni ushetan naungana nawewe kiongozi wa dini mimi ni mwislamu dini zote zina pitia shida hiyo hiyo
2026-11-07 01:33:37
0
MAIKO_MAIKO :
Kabisa
2026-11-18 18:39:52
0
neema🥰 :
Hakika MUNGU,atusaidie ili tuweze kuzijua hila za mwovu,mm mwenyewe huwa nikisikiliza nyimbo zilizotengenezwa kwa AI huwa najskia vibaya sana
2026-11-04 16:35:02
6
perlessimon :
Ee Mungu ingilia kati bila ww atuwezi
2026-11-04 13:55:43
6
Enlyee :
Asante baba kwa kunipa elimu hii
2026-11-04 16:12:41
6
Ney Timoth🍀 :
kuanzia leo mimi na AI bas
2026-11-05 10:00:58
6
ag@t@ :
akuna kitu sikipendiìiiiii kama
ai spendiiii
2026-11-06 18:27:55
4
favour :
yes
2026-11-06 19:15:21
1
Salama Emanuel :
namshukuru Yesu nilishituliwa mapema na Roho kuto tumia ai
2026-11-07 14:37:12
2
Moïse muvuhi :
Mungu atu saidiye sana
2026-11-06 17:27:12
2
💥 💣 :
Sauti yenyewe AI 🤖 🤣🏃♀️
2026-11-04 16:29:38
0
user7888368850459 :
Hii ni kweli kabisa kuna siku AI iliniita baby wee nilimshushua akaomba msamaha nikasema hii kitu ni demonic kabisa
2026-11-05 05:53:24
5
Yesu yu hai :
Mungu naomba nisaidie🙏
2026-11-05 09:34:18
2
Malaki3 Mkwizu :
Asante Sasa mtumishi nimepata funz
2026-11-05 08:51:13
4
muhindo Daniel v-van boy :
uwiiiii Sasa mimi kwanjia leo naasha ku tumiya ai meta
2026-11-05 08:40:18
3
To see more videos from user @pastor.godwin.ndelwa, please go to the Tikwm
homepage.