tushai gonganishwa vichwa lesson ya chem juu tuliulizwa swali and we didn't know the answer[Tears of joy]
2026-11-05 06:45:38
120
Essy John 🇰🇪 :
alf Kuna Mimi nikimwona kwa line sikuwa naendea na sikuwa naenda choo asinione 😅
2026-11-05 07:07:36
189
a💝s💝i💝s :
Wuueeh tuliitwa mbele tukaambiwa tulale kama bibi na bwana🤣🤣🤣🤣
2026-11-04 20:52:47
132
Noel masaki :
aki do you know l,ve through comment section na nikuishiwa nguvu nimeishwa ju aki gaii wacha tu
2026-11-05 12:15:53
0
son 🫥 :
wangu aliona nikirudia githeri alafu nilikua nishafikiwa ...huyo mpishi aligonga Ako kasahani kangu kakaruka Bali sana mind you msupa alikua anaona...manze mpaka Leo Io aibu haijainitoka 💔😭😂😂😂
2026-11-05 11:33:41
20
ciku :
shida ilikua umwone na Dem mwingine🤣🤣
2026-11-05 03:52:00
20
Shan Dera :
pole sana nani wako Singapore sai plz
2026-11-05 04:59:53
24
trìzâ 😍 :
wangu naye alikuwa ananisuport 😅 even when I was making noise in class ☺️
2026-11-05 12:28:20
0
Mwas🇰🇪🇪🇺 :
kuna siku nilipoteza sahani mathe akaninunulia kasufuria kadogo,I've never lost aura like that day,alifanya hadi nkatokwa na dame..wazazi nao they don't care
2026-11-05 09:31:49
14
Quincy🥰🌟 :
sisi tuliitiwa Hadi reverend aty atushikanishe cjai heal🥲😭😂😂😂
2026-11-05 08:56:07
9
Anna reborn🏆🏆 :
I loved that guy 😻 😂
2026-11-05 09:54:38
0
Jepher 🎧 :
Hiyo ndio maana sikudate school mate ju lazima ningerudia uji, githeri, Na kuchukua ugali blocks mbili😂😂😂
2026-11-04 19:09:31
32
Peruu😤🧡 :
I get that ka feeling bro,,thank God nlimaliza shulee😂😂😂😂
2026-11-05 10:27:31
0
lucieee :
mm kwa class sikuwa nanyosha juu mkono hata kama nina jubu coz I had a boyfriend kwa class moja😂😂
2026-11-04 17:40:41
25
Amazing grace :
hio ilikua real love juu Bado utampenda after that
2026-11-05 10:40:53
5
Kevin Otieno :
Seriously you
2026-11-05 11:14:32
0
Cheptoo💍❤ :
mm nilimuandikia letter akapatwa nayo walituaita mbele ya parade😂
2026-11-04 20:48:10
22
Titus 👊👊👊(Tito) :
[Laugh approved]🙅🙅ni mbaya
2026-11-05 12:11:09
1
👻PrincessCharming🥵👸🤡 :
Wangu aliwai pigwa akafaint juu akureport shule the exact day,wakakuja kuniita eti mpoa amepigwa akafaint😂😂😂
2026-11-05 10:42:03
8
eli wafula :
Mimi nilikua na mmoja east na mwingine west, walilimana vibaya sana siku ya games
2026-11-05 05:36:06
10
Melly mpole :
hapo Kwa kukunywa chai ya walimu usiku
2026-11-04 18:58:26
7
M, NDIRANGU💫💎✌️ :
I ones dated jaluo guys😂😂😂
2026-11-04 21:49:13
6
Obugi :
😂😂😂😂 achana na maisha yangu
2026-11-04 18:52:13
6
Little ~Jinja🧚♀️ :
Wangu alipatwa kwa mti wa maembe usiku 😆
2026-11-05 05:28:42
5
zilsani@006 :
sasa na mimi mwenye nilikuwa naitwa bottom kila exam.....niongee kwa kukaa ama kusimama😂😂😂
2026-11-05 14:01:51
2
To see more videos from user @jamesvigilantee, please go to the Tikwm
homepage.