@kambione_mediatz: Jamaa Kachagua Kazi Isiyomruhusu Kulala Kazini, Wanajeshi Nchini Canada Wakimfanyia Mwenzao Prank Baada Yakusinzia Wakiwa Mazoezini #kambioneupdates #kambionemedia
kambione_mediatz
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 13:49:36 GMT
Music
Download
Comments
mwanaidimandia913 :
duuh kila nikiona wanajeshi naogopa jmn baba angu mdg alifariki kipindi anaenda vtani jmn duuh allah ampe kauli tbabit bamdg hossean😭😭
2026-11-04 14:52:04
46
@MadameavithaCEO🥰 :
Mungu azidi kuwapa nguvu na moyo usiokata tamaa🙏
2026-11-04 15:34:05
11
magiekisendi :
🤣🤣🤣 ninoma sana
2026-11-04 15:06:32
4
Busungu Jr :
hapo saw makamanda[Pray]
2026-11-04 14:48:48
2
R🇹🇿🇹🇿💪💪🙏🙏H :
2026-11-04 14:34:27
5
Maiko Elias1234 :
😂🤣😂🤣 ila cyo poa
2026-11-04 14:59:32
2
Catty :
😂😂Mmh htri
2026-11-04 15:12:08
2
Raygon :
Meanwhile me 😳
2026-11-04 14:44:15
2
Walter Chilambo Mchelsea :
ina maana pale El adde wasee walikua wamelala ndo militias wakapata advantage,,, kulala tena mko frontline ni mbaya sana
2026-11-04 16:06:14
0
nakanganigwe :
😃😃😄😄duuu Askar banah
2026-11-04 15:44:25
1
🥺🦋🌹 :
😂😂😂😂
2026-11-04 14:43:23
1
miss cute :
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila nyie mtauwa mtu plesha jomon mwenyezi mungu awaajaalie upambanaji mwema
2026-11-04 15:33:58
2
carn🥰 :
nikionaga hivi nahisi jeshini ni kama kwa Babu yangu🤣
2026-11-04 15:26:48
0
Abdulrahaman Sudaiss :
Gardem
2026-11-04 14:42:27
1
toxic boy captain 💀💀 🪖 :
😂😂
2026-11-04 14:37:11
1
Edina :
😳😳😳 Sijapenda walicho mfanyia mume wang.
2026-11-04 15:39:44
0
Jackson Benson :
daaa
2026-11-04 14:47:53
0
Pendo1Tz :
Jamani kuna mda mtu anachoka
2026-11-04 15:26:14
0
Grace ❤️🌹 :
😂😂😂😂
2026-11-04 15:28:51
0
Albam Boy :
2026-11-04 15:30:23
0
Ally Ahmad :
hawa watu wanachoka sana, Hawalali
2026-11-04 16:13:09
0
baba nasra :
daa kazini kwake kuna kazi
2026-11-04 15:31:44
0
DEODATUS DENIS :
mpk mm mwenyewe nimestuka simu nimetupa mbali KIDOGO daaah😂😂😂
2026-11-04 15:46:33
0
tyson amos :
2026-11-04 14:49:53
0
To see more videos from user @kambione_mediatz, please go to the Tikwm
homepage.