@jeromesvault: Unaweza kutambua JBL fake na Original Kwa vitu vichache?

Jerome's VAULT
Jerome's VAULT
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 13:50:05 GMT
11567
506
28
11

Music

Download

Comments

nowmejo5
️ :
Kaka kwahyo zile min perfume nije na how much
2026-11-04 14:06:27
3
revocatusjoky
Revo 🍃 :
tuongeze kutembea aisee😂😂
2026-11-07 08:40:46
0
theddyc4
ᥫ᭡Theddyᥫ᭡ :
Boss hii umeagiza bei gani China?
2026-11-04 16:14:08
0
itsdiesel6
Gangworldwide :
jbl app tu usihaingike sana ila kwa sisi maudiology tunawasha tu tunajua hii og or fake au kuangalia tu muonekano wake na detail chache tu
2026-11-04 17:34:49
2
tembo_123
Terlvin Pima Jr. :
hii inafany kz ht kwa boom box 3 ?
2026-11-05 18:22:30
0
christianprince6690
Christian prince :
watu wawe tu serious na pesa zao,bidhaa ya 1.3mln lazima ifanane na hiyo pesa,ni kwamba tu watu huwa wana papara au wanapenda slope.
2026-11-07 04:56:07
0
official_richkaka
Rich_Kaka. :
hiyo jbl shingapi
2026-11-04 14:20:49
0
juliusjohn518
Jusco John518 :
shingap boss
2026-11-05 12:46:08
0
To see more videos from user @jeromesvault, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About