@5chancee_1: Lanmò San Jou’s Letter to the UN: A Haitian Gang Leader’s Call for Peace and International Mediation. #tanzaniatiktok #nairobitiktokers🇰🇪 #kessgame #tanzania🇹🇿 #nairobitiktokers🇰🇪

NGIRI🐗
NGIRI🐗
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 14:14:17 GMT
105627
7497
184
108

Music

Download

Comments

jeinsey
jeinsey :
msiojua kitu huyo kiongozi wa mawozo ana akili kinoma kuandika barua hio sio kwamba anaogopa😂😂😂
2026-11-04 14:53:18
63
michi_amazing58
MICHI :
. sisi kama umoja wa mataifa tumetupilia mbali ombi hilo 😎
2026-11-04 15:12:46
127
melanin3630
Melanin :
Antonia Nani [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-04 17:04:56
0
doublexaidy
rahfar :
mimi kama kiongoz wa UN cjakubal😂
2026-11-04 14:22:17
120
reendo24
🦋Doreen🦋❤️ :
Amani ipi kwa ukatili walio ufanya?
2026-11-04 14:28:04
51
ms.aj31
ms.aj31🪷 :
Yani Gang anataka maridhiano wtf? Kwani yeye ni raisi[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-04 16:01:08
18
ayraali94
aziza :
wao kuua watu wanaona Raha kuuliwa wao wanaomba makubaliano
2026-11-04 14:47:45
55
felistaalex80
Thinking 🤔 :
athari zipi ameziona kwa wananchi ikiwa wanauwa watu kwa mapanga kwahiyo wao wanaruhusa ya kuua wenzao ila hao wanajeshi wa kigen hawapaswi kutafuta haki?
2026-11-04 16:52:18
8
tallented123
scouted boy123@ :
tuendelee kufatilia Hz episode 😂😂
2026-11-04 15:24:04
0
beatrice5chancee
🦋B💍🙏R 5chancee 🦋💍❤️🌹💯 :
wa kwanza 5chancee nakukubali sana MUNGU wa mbinguni aibariki kazi ya mikono yako 🙏😍😍🔥🔥🔥🔥🔥
2026-11-04 14:18:37
20
eymano64
Mr Eym@n :
issue ipo deeeeeep
2026-11-04 16:32:31
0
betiah08
Therealbethy🥰💕😉 :
Mimi siamin Kama yeye kandika hiyo barua kwa umoja wa mataifa ikiwa huyo Kiongozi wa kundi la maozo anatafutwa Kwa makosa mengi kwa Hapo uongo
2026-11-04 15:05:15
12
nono.mom05
Mbeya Girl🥰💕 :
Free Haiti
2026-11-04 17:15:21
0
lizybaby87
lizybaby ❤️❤️ :
acheni uongo ila watu🙌
2026-11-04 14:50:16
3
mohamedyissa1
Mohamedyissa5 :
mbona muandiko kama sio wake
2026-11-04 19:54:13
1
bachanja1
no name :
wakwanza
2026-11-04 14:18:28
11
am_carly_twizzy95
Its_Niffer🎀 :
Si mlisema amekufa jmn
2026-11-04 14:45:31
6
luuh8556
luuh :
nimekataa mm kiongoz wa UN
2026-11-04 17:52:58
5
bagimwamba
BAGI mwamba Deejay🇨🇩 :
sikubali mazungumzoo
2026-11-04 16:54:25
3
shazma7486
Shazy ..3x :
kumbe anajina la my dady ila sema ye ni handsome jamn
2026-11-04 15:44:35
1
amorydependo
Amory de Pendo :
hatutaki makubaliano😂
2026-11-04 15:02:14
1
calvin_357
calvin_357 :
Walifikiri ni Kenya Police😁
2026-11-04 17:46:40
1
jeremiah.james71
Jeremiah James :
sema huwa na kufatilia sana habari zako
2026-11-04 20:05:42
1
dembele_952
SAVAGE✨️ :
ss me sielew aliend UN atasikilizwa kwl maan ni kila kitu kipo wazi
2026-11-04 14:47:52
5
ma.ramsey2
Ma Ramsey!!🔥❤️‍🩹💅 :
Hawa watu sio wakusamehewa yule bint walivomuua vibaya jaman😭😭😭😭
2026-11-04 16:43:43
2
To see more videos from user @5chancee_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About