Nmekuja kugundua skuiz wanaume wanajua kupika sana kuliko Wanawake 😂😂
2026-11-04 21:57:10
127
Chichigrilltz :
🐟🔥 SAMAKI WA KUPAKA – KISUKUMA VERSION! 🇹🇿
Viungo tulivyotumia:
* Curry powder
* Paprika
* Fish masala
* Black pepper
* Chilli flakes
* Garlic
* Vinegar
* Royco Mchuzi Mix
* Coca-Cola 🥤
* Turmeric powder
* Thyme leaves
* Rosemary
* Pilipili 🌶️* Nazi 🥥
Enjoy ☺️
2026-11-04 14:45:23
15
funny time :
Rafiki, mi shekhe Muhammad 😆😆
2026-11-10 21:32:11
28
GENESIS_BAKERY25👩🏽🍳 :
Kutuliza kupunguza na kuachisha kabisa 😅😅😅😅😅
2026-11-05 04:47:24
50
Feisal 🫵😋 :
rafiki mi shehe muamadi🤣
2026-11-10 14:05:44
18
lemonade 🍃 :
Oyaa iyo vita nakumbuka Sa kumi na mbili ote ndan umenikumbusha majonz 🥺
2026-11-04 17:13:30
27
isabellaliftsx :
Coca cola yotee?😳😂
2026-11-04 15:43:08
19
Mr kwere :
😂mi shekhe muhamad
2026-11-05 09:17:51
13
unknown_folder1 :
Kwa macho yanguuuuu
2026-11-05 20:13:50
1
daxjoker06 :
coca cola inamatumizi gani hapo? yaa i inaongeza nini.
2026-11-05 10:03:54
2
Ms Angel🌸 :
Sasa hiyo coca imekukosea nini lakin😂😂
2026-11-04 16:50:05
8
Nassoro Liseki :
home huko, ni panga tu, Masai anapiga sime mkulima. wakulima wanapiga panga ng'ombe🙌💔
2026-11-04 17:21:21
8
Vee🌹 :
Kwahiyo inabidi tupite coz za mapishi kabla ya kuolewa si ndio[Crying][Tears of joy]
2026-11-05 07:24:40
2
mkocho :
2026-11-10 15:54:49
1
JITU LA IMANI🙏 :
Wale jamaa wanapiga hadi kuku aiseeh!!🙌🙌🙌
2026-11-05 04:44:38
2
behafsa❤️ :
Naomba
2026-11-05 05:44:50
1
mamy triple J :
jaman tuoe
2026-11-05 13:29:21
3
ŁG〆M.i.c.ҝ.j.σ.π.ҝ.i.π.s 🇹🇿 :
2026-11-13 10:57:49
1
Brizy_maydeht :
maziku bro nipe siri ya metabolism yako bro😂
2026-11-05 07:18:20
3
Pojo nail's💅🏾 :
Usikate tamaa wala kuona uko peke yako katika safari hii. Kumbuka hata Daudi baada ya kupakwa mafuta kuwa mfalme, hakukalia kiti cha enzi siku hiyo hiyo. Alipitia kipindi cha maandalizi kabla ya kuingia kwenye kusudi lake.
Vivyo hivyo, usione kama Mungu amekusahau kwa sababu bado hujafika unapotamani. Kama mwana wa Mungu, una urithi ndani yake. Endelea kukua katika hekima, imani na uwezo wa kusimamia kile anachokuandalia. Kumbuka, kipindi cha maandalizi si kipindi cha kusahaulika. Mungu bado anafanya kazi ndani yako.
(1 Samweli 16:13)
2026-11-05 21:03:51
2
Mponela Shaibu :
🤣🤣 mamaee
2026-11-05 05:54:01
2
@VIPOST :
nimecheka sana aisee😅😅😅
2026-11-04 20:45:13
1
Being joy😍 :
Mh uongo
2026-11-05 06:41:54
1
Annalyn shop :
mungu baba niepushe na mume anae juw kupika hiv maana mm sijui ata kupika🤣🤣🤣
2026-11-05 07:21:09
1
Feng Hao :
All right
2026-11-04 19:06:50
2
To see more videos from user @chichigrilltz0, please go to the Tikwm
homepage.