@business_code: 01;Biashara haianzishwi kwa mkopo, biashara inaanzishwa kwa kusave.. 02;Unapo anzisha biashara location ni muhimu kuliko chochote, ukikosea location umeua biashara.. 03;Biashara haianzii mfukoni,Biashara inaanzia kichwani, kama unaanzisha biashara kwa kuangalia mfuko wako basi utachelewa sana 04;Kama haujui kutabasamu basi usifunguebiashara,maaana utakuwa una tununia wateja wako na ukifanya hivyo tutakuhama kwa kasi sanaa.. 05;Unapo fanya biashara na mtu,mfanya kazi wako au ndugu yako Tumia akili sana utanishukuru.. 06;Usilete undugu kwenye biashara utaishia kufilisika. 07:Sio kila biashara inayo lipa au inayosifiwa kuwa ina faida sana ,nilazima na wewe uifanye mengine yakupite... 08;Usiwachukie washindani wako wa biashara, jifunze kutoka kwao kwani kufanya hvyo kutakusaidia kujua mbinu za kuwashinda, na kuongeza ubunifu... 09;Sio kila ushauri unao pewa kwenye biashara yako ni wakuusikiliza kwa maana ,ushauri mwingine 10;Usipendelee sana kucopy ,kila wazo la biashara kwa watu ,fanya kwa uwezo wako na fwata nafsi yako na akili yako inavyo kuongoza.. 11;Imani kwenye biashara ni ya Muhimu sana tena ndio jambo la kwanza ,Mtangulize Mungu kwenye biashara yako ,hatakama ni ndogo kiasi gani kunawatu hawapendi na hawataki hata hicho kidogo ulichonacho... 12;Jifunze kilasiku ,unavyo jifunza unazidi kuwa mtu hatari sana kwenye biashara.. 13;Take more risk , kwenye biashara Mtu anaye take risk kubwa ndio huibuka na mafanikio makubwa ,lakini sio kila risk lazima uichukue utakufa.... 14;Kama huwezi kuitangaza biashara yako, funga biashara maana wewe hauwezi biashara.. 15;Usilete mapenzi kwenye biashara utakufa maskini 16;Usiingie wala kuwekeza kwenye biashara usiyo ielewa kwa kina zaidi, utanishukuru... 17;Unapokuwa kwenye majukumu ya biashara yako weka simu pembeni punguza na acha kuwa bize na simu yako,utanishukuru siku moja. 18;watu wasipo kuamini Jiamini wewe mwenyewe na focus na kile unacho kiamini kwenye ubongo wako... 19;kama huna mtaji akili yako ni mtaji tosha hakikisha unaitumia akili yako kupata mtaji na usiniulize nitaitumiaje Tumia akili uliyo zaliwa nayo... 20;Usishindane wala kujilinganisha na wafanya biasharawakubwa utachoka buree, shindana na jilinganishe na watu wa level yako majirani zako ulio nao kila siku... 21;Kama unaona unamaono makubwa ya kufanya biashara kubwa za viwango vikubwa tafuta watu sahihi ,watakao iamini na kuielewa vision yako.. 22;kama umeshindwa kwenda mwenyewe nenda na wenzako,some times Team work inalipa japo sio kila mara kuwa muangalifu.. 23:Utajiri ni watu, Muombe Mungu akupe watu watakao kufungulia milango ya kukufikisha kwenye utajiri... 24;ukigundua umepotea njia hatakama ni mbali kiasi gani usiogope kurudi nyuma na kuanza upya.. 25; Usisahau kutufollow, kama una vision kubwa ,upate maarifa ya kukufikisha kwenye ndoto zako,usisahau kushare kwa rafiki na ndugu unao taman pia siku moja watimize maono yao na kufika mbali, Ni amri gani imekugusa zaidi , au umewahi kuipitia kwenye maisha yako tuambie kwenye coment.. #maarifa #foryou #trending #motivation
biz_mastery
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 16:10:45 GMT
Music
Download
Comments
anni :
Asnte nimejifunza kitu
2026-11-22 07:16:47
1
HANCYK MEDIA :
Apriciate in all bro
2026-11-21 17:42:28
1
Martina :
asante sana kaka naomba tuendelee kuwepo hakika nitafika mbali
2026-11-05 10:59:16
6
Mch silivesta :
Kweli
2026-11-07 17:49:08
1
Augustine Paul :
asante
2026-11-07 10:50:00
2
Korimba Jackson :
namba 2muhimu sana
2026-11-09 10:39:31
2
RERAT Products :
Thanks
2026-11-09 04:46:22
1
Hassan ahmed :
idea nzuri sana nimeipenda
2026-11-08 16:01:57
1
Pierrot Rugambwa :
Asante sana
2026-11-07 14:59:43
1
user4009745266130 :
Asante sanaaaaa
2026-11-08 16:10:36
1
MSAFI OG.[outfit gentlemen🫂 :
zoooooooooteee
2026-11-08 14:12:08
1
Scene Stealer🎬 :
24
2026-11-16 16:57:06
1
JV_matele📱 :
2026-11-20 18:25:45
1
killer man :
amina
2026-11-05 10:21:17
1
neemamawe makaranga :
asante
2026-11-05 19:13:29
1
Mch silivesta :
Asante
2026-11-07 17:49:28
1
Kichuy :
Asante
2026-11-05 16:29:10
1
Hadija Abdallah :
asante
2026-11-06 02:56:19
2
daudi adam :
🥺
2026-11-16 16:38:12
1
MAGAUNI YA MITUMBA ARUSHA :
Asante
2026-11-05 20:54:48
1
Nasrati Husseni :
Nimejifunza 🤝🤝
2026-11-06 16:18:50
2
MOB tv Nestory mkalimotonestor :
hiyo ya 23
2026-11-08 12:29:53
1
Nasrati Husseni :
2026-11-06 16:18:26
1
Crispo Loveriny :
exactly
2026-11-16 13:14:36
1
Dar Cherehani :
i got
2026-11-19 09:41:26
1
To see more videos from user @business_code, please go to the Tikwm
homepage.