@madundo254: Shukrani Governor Abduswamad Sharif Nasri ametupatia support kubwa kwa kununua tiketi mia tatu, ili kuwapa watu fursa ya kuhudhuria show yetu. Amesema hizo tiketi ni zawadi kwa wananchi wote, bila ubaguzi wa aina yoyote wala kuangalia kabila ama eneo. Kila mkenya na wapwani kwa ujumla waana haki ya kushiriki. Tunamshukuru sana kwa moyo wake wa kujitoa, Mungu ambariki sana. Asante kwa kusimama nasi na kuunga mkono burudani na vipaji.”
madundo254
Region: KE
Wednesday 04 November 2026 16:16:43 GMT
Music
Download
Comments
@Ashleyqueen :
Alafu ujisahau hapo useme one term 😂
2026-11-04 17:21:55
502
🫅MUME WANGU™️ :
gavana amesalimiwa mara 7[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-04 16:44:56
262
🤪Thummy00🤪 :
Keep going madundoo
2026-11-04 19:08:15
169
Mwasalaba :
You are doing a good bro. Let me give you your flowers. Kudos bro💯
2026-11-04 17:50:52
161
Aidah❤️ :
Madundo naomba mimba tu mimi 😂😂
2026-11-05 08:34:35
32
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-11-04 18:06:52
40
Bantu Mjerumani :
endelea kunipa mazuri😂😂😂
2026-11-05 07:43:01
9
mishii :
gavana unamtu au nije niwe mtu wako
2026-11-04 16:47:48
92
Mr Tee :
ila muna uhakika huyu madundo sio chizi kikweli😂😂😂 much love madundo
2026-11-04 16:41:01
112
ROH ROBI💖 :
am continue got be off
2026-11-05 12:32:18
1
user3381624241198 :
Haki leo Governor amepata mgeni vituko vitupu
2026-11-04 16:50:26
41
Mrs Manote 💞💕💕 :
Much love to Madundo🥰🥰🥰🙌🙌
2026-11-05 12:19:36
1
vikuba coast :
nataka hio ticket ya gavanaa, tumem chagua wenyewe😅😅😅
2026-11-04 18:10:05
23
Mega mind26 :
bro nataka moja madundo
2026-11-04 19:24:14
8
gift mishi :
keep going 💪 kijana your so hardworking boy
2026-11-05 10:22:27
1
Zeinab Salim :
Naomba ticket moja
2026-11-04 20:02:09
1
Mariam Mary :
wow i love this 😊
2026-11-05 11:53:18
2
Nayum beutiy :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]madundo wanipunga sana aky
2026-11-04 17:35:20
7
mind shift nation@ 254 :
madundo funniest comedian
2026-11-04 17:35:59
12
🦋Mamaaah🦋😘 :
Mm vile nampenda Abdul.swamad toka zile time za kuenda shule nikilipwa aah w2 wa 2024 wanaelwa😂😂😂 lzma.mniona.kwa.balot next year
2026-11-04 16:41:52
45
beb zuu :
beka uko wapi😂😂
2026-11-04 19:10:26
23
it's-me-lucky❤️ :
location ni wapi madundo ndo nifike saa tano nisikose ticket
2026-11-05 08:17:20
11
Mr. Simiyu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
hapo kwa Tutam vijana hatuko hapo ☝🏽
2026-11-05 05:15:47
7
JAMAL :
SI YA KUKOSA HIII🔥🔥🔥
2026-11-04 16:29:09
34
Shilaho Calistus :
hiii Kitu ilikua umepangwa mwanzo coz hauwez Ingia hivi hivi Kwa office ya mweshimiiwa
2026-11-04 19:18:00
14
To see more videos from user @madundo254, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.