@cocofm: DEMOCRATS WAPATA USHINDI MKUBWA DHIDI YA REPUBLICAN~MAREKANI Uchaguzi wa kati ya Muhula nchini Marekani umekamilika na matokeo ya uchaguzi huo umekipa chama cha democrats ushindi mkubwa. Ushindi huu huenda ukaathiri uongozi wa Donald Trump baada ya kupoteza uthibiti wa mabunge yote mawili, lile la Wawakilishi na Seneti. Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema yuko tayari kukubali matokeo hayo ya uchaguzi wa katikati ya muhula (Midterm Elections), huku akieleza utayari wa kushirikiana na Chama cha Democratic kilichoshinda na kuchukua udhibiti wa Baraza la Seneti na Baraza la Wawakilishi. Ushindi wa Democrats katika pande zote mbili za Bunge la Marekani umekipa chama hicho nguvu ya kuathiri ajenda za utawala wa Trump kwa kipindi kilichosalia cha urais wake, huku ukiwa pigo kubwa kwa Chama cha Republican. #MionziyaCocoFM #COCOFM #ladhayapwani

COCO FM
COCO FM
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 04 November 2026 16:59:36 GMT
492
18
1
0

Music

Download

Comments

user79872675592654
jamesbond :
♥️♥️♥️
2026-11-04 18:32:04
0
To see more videos from user @cocofm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About