@university_graduations: Umekuwa ukikiona hiki kwenye kofia za graduation, lakini je, ulikuwa unajua kinaitwa Tassel? 🎓 Tungependa kujua kwenye comments! . . Planning your graduation? Class of 2026, prepare early and don’t forget your Sash! 🎓🔥 #ClassOf2026 #UniversityGraduations #GraduationFashion #GraduationSash
Graduation_Sashes
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 17:02:20 GMT
Music
Download
Comments
GodfreyNoah :
ahaaa me najua ni kikofia inatosha😂😂😂
2026-11-05 05:23:14
63
shine❤️🔥 :
yote hayo Yann [Tears of joy]muhitimu ni muhitimuuu tuuu hata kitoso kikiwa hakipoooo[Tears of joy]
2026-11-05 06:17:21
34
Mic_mkoyi@ :
kina msaada gani kwenye maisha yetu ya kila siku
2026-11-21 21:46:00
14
ney :
Sio toso ni tassle
2026-11-04 22:39:00
31
chide swaffy officially :
Sasa ina ma'ana gan hovyo
2026-11-24 17:05:56
0
Angelyona5💋 :
umetudanganya ukishahitimu ndo unaweka kulia siyo kushoto
2026-11-10 08:19:06
8
Vanquisher Meds :
mambo yalivyokuwaga magumu, utapata kwel muda wa kujua hyo ni nn?😂😂😂
2026-11-06 18:10:31
2
Jozy :
ikihama ivyo ukitoka haoo unapata ajira au 😅😅😅😅😅
2026-11-23 00:24:03
0
Ruth Mtata :
kinaitwa kidude 😅
2026-11-08 11:41:09
8
Her era♑️ :
Hata sina mda wakikujua bora tu nimemLiza
2026-11-04 21:56:16
7
GOLDEN GIRL :
Kuna Mtu kakomenti Kasema kinaitwa kidude🤣🤣🤣
2026-11-14 08:23:56
3
Idrisa Shukrani :
sijakisomea hich labda niongeze mwaka Moja Kwa ajili ya hicho
2026-11-22 11:53:32
3
glory :
ambao hatukijui tupo😁
2026-11-04 21:35:16
12
annasikany :
chaiii i wonder
2026-11-05 15:17:17
1
proper company :
Mm nitaeka ninapo taka bhna[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-12 17:49:27
3
bwana mjengi :
guraduesheni
2026-11-05 13:47:32
1
KENNEDY BOY :
mwenzio naita kikofia . najua joho ,. kikofia pamoja na sash . hata kile Cha kuvika shingo begani nakiita kibwebwe 😅😅😅
2026-11-23 11:06:45
2
Elisante :
kikqmba
2026-11-05 17:59:16
0
renee :
sasa masomo yatubabaishe na kitoso😳nacho tukijue kikofia chenyewe kinavaliwa siku Moja tu
2026-11-05 18:15:13
0
Amirah bakar :
naita kinyuzi tuu bass 🙌
2026-11-19 06:30:40
0
Elinah_16 🇹🇿🇹🇿 :
kikofia bhana 😂😂🤣🤣
2026-11-05 17:09:00
0
Skyler_.💸💕🖇️ :
Nikishajua maan yake kitanisaidia Nn ss 😳😅
2026-11-17 12:32:12
4
ASSISTANCE SOCIAL WORKER. 🤝 :
kumbe hata skujua
2026-11-05 17:43:19
1
𝐀𝐀𝐘𝐋𝐀𝐀𝐇 :
Kininiii??????????
2026-11-12 07:20:29
1
To see more videos from user @university_graduations, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.