@mapenzidailytz: Mapenzi si zawadi, pesa wala uzuri wa sura… Mapenzi ni kujali, kuheshimiana, kuvumiliana na kuwa mwaminifu hata pale ambapo hakuna anayekuona. 🥹💍#Mapenzi #Mahusiano #LoveQuotes #UkweliWaMapenzi #Tanzania@Love Music🌹 @Love songs 💞🥰 @Miss you @Torachi Touch @LOVE 💕 QUOTES ♥️💕