dada mwenzi wa kumi na moja tarehe 23 nikumbushee nikutumie kitu kidogo cha asante kwaajili ya kazi yako maana jiran ameniinyima kuangalia tv yake na mimi ndonaanza maishaa hivyo sijanunua Tv kupitia wewe naangalia
2026-11-04 19:51:51
26
mrs Kaema :
aisha aishii sana jaman[Red heart]
2026-11-05 11:09:17
3
bibahme :
Adui yako usimuombee kifo muombee apate mume kama Murat
2026-11-05 04:14:08
10
Ms dijah🦋 :
Hii ndo tamthilia yangu pendwa🥰🥰🥰
2026-11-04 19:40:44
28
miss Debbie g :
Damla na bamdogo walivolegea mi hoi 😂😂
2026-11-04 20:24:57
10
dorahchiwanga :
Natamani kama Atilio amwoe Neslian
2026-11-05 08:23:25
3
serenity❣️ :
jamani nampenda Batu🥹❤️
2026-11-05 06:40:37
10
Li_zzyqueen🌸 :
Bi shaika ananiumiza utazan ni mamaangu mzazi Daah 🥺🥺🥺🥺
2026-11-05 08:43:14
5
Cherrie🍒 :
Neslihan unaniliza kil sku🥹🥹🥹
2026-11-05 05:24:28
2
Kadogoo decor :
Ila murt anavyo angalia
2026-11-05 08:25:54
3
GIFT🥰 :
so emotional
2026-11-05 11:43:13
1
WINS 🌸 :
mhhhhhh
2026-11-05 09:03:23
1
Priscila bin mauja🌺🌹 :
Hivi ni mm tu eda ananikwaza??!
2026-11-04 23:08:44
5
Shuu hatun ❤️🦋 :
Hii wiki nalia kila siku jmn 🥺🥺🥺🥺
2026-11-04 20:36:29
7
🦋💞twity-garl🦋💜 :
Atiliaaa Ana moyo wa kipekeeee Jmn🥹❤️
2026-11-04 21:09:30
13
@ItsReshyy🦋🤍 :
Yan Murat Hana Ata huluma jaman 🥺🥺 hii movie inamafunzo meng sana jaman
2026-11-04 21:14:38
6
taumomo :
daa ila murati jmn 🙌🙌
2026-11-05 09:36:12
1
Marie nguti :
aki iyi wiki sijuwi kwakweli na lia kila siku
2026-11-05 09:12:38
2
Chonge :
Wacha amuoe aweke familia na kesi sawa, ila penzi letu lipo limetulia kwa bwana afande 🫡 team neslian
2026-11-04 21:36:20
5
janiemushi :
ila damla kuigiza yupo vizuri
ett huyu nani😁😂
2026-11-04 21:06:52
5
Catherine Jumbe :
eti damla anashangaa kuskia selim ameowa
2026-11-05 05:56:18
1
sophoscar :
Asante
2026-11-05 09:33:41
1
piemagreth 💝💝 :
ila damla ety usinipandishe kisukari😂😂😂
2026-11-04 20:42:19
6
To see more videos from user @madammastermovies, please go to the Tikwm
homepage.