@alphakizzy1: "KUMILIKI BENTLEY ILIKUWA NI NDOTO YANGU YA MUDA MREFU"- @officialzuchu Queen wa Bongo Fleva @officialzuchu Amefunguka kwa Mara ya kwanza Toka Apokee Gari lake la Kifahari Aina ya Bentley. Zuchu Amesema ilikuwa ni Ndoto Yake ya Muda Mrefu Kumiliki Gari hili Aina ya Bentley Continental GT. :@lanka_ting : @tammykhamis