@bukheit.altamimiy: Bubwini zanzibar visit zanzibar

Bukheit Altamimiy
Bukheit Altamimiy
Open In TikTok:
Region: AE
Wednesday 04 November 2026 19:43:20 GMT
40691
918
195
57

Music

Download

Comments

officialbarekii
o͢f͢f͢i͢c͢i͢a͢l͢b͢a͢r͢e͢k͢i͢i͢ :
Wapole wakarimu wacheshi mashujaa wachamungu wasomi 🥰
2026-11-05 02:03:16
25
asha.sharifu6
shaimaa😘 :
wachawiii hatariii
2026-11-05 04:39:07
5
user7430630024298
MR COVID 19 :
wazee hulala mchana usiku wakashindana na ndege aina ya jumbo jet
2026-11-05 04:23:35
17
user8023369941354
salim :
giningi ndipo ilipo,
2026-11-05 14:46:49
0
drjimmy61
Dr, jimmy :
Ma hand some boy wap weng sannaa tumejazana😂😂😂😂
2026-11-05 04:34:00
0
user2240203333440
ahmada zanbar tour trips :
Watii na ni wenye usikivu masha allha
2026-11-05 09:11:46
7
bint.mustapha8
Bint Mustapha :
Watoto wakike(wari)wanamafunzo ya dini yetu ya kiislam wenye heshima na hofu ya mungu
2026-11-05 04:19:56
12
cheydah27
Cheydah :
Ukijenga bila kuwaomba wenye Mji wao bas utaijenga nyumba haimalizi milele... 😂😂😂😂😂
2026-11-05 10:20:46
8
sulesh.hemed
Sulesh Hemed :
Nikiskiliza hii qaswida wallah natoka machozi,kipindi icho ni mdogo nipo na wazee wangu tunaftar leo wote hawapo washafika mbele ya haki,allah awasameh ameen 😭😭
2026-11-05 16:09:27
5
haitham.juma19
Haitham Juma :
wanga winging
2026-11-05 09:48:41
0
user4544221701480
user4544221701480 :
Unaposem Bumbwin kuna wachawi je kuna sehem ambay haina wachawi?
2026-11-05 17:55:29
2
zidanhaji99
zidan zidan :
mi nnachojua bumbwini kuna wanawake wazuriii🥰🥰
2026-11-05 14:09:10
1
mrs.walad
mrs walad ❤💫❤ :
wanaheshima sn na wanamsimamo wa dini
2026-11-05 18:57:49
0
user6020416355616
Aiyaah 😊 ❤ :
Wana kwangaa sanaa mchana kweupee
2026-11-05 16:11:36
0
sweetgift7828
Sharmila’sflorals&Gifts :
Wangaaaaa😂😂😂
2026-11-05 21:14:02
1
choloeddy3
cholo :
Waganga wengi
2026-11-04 20:08:15
2
user6802324943108
user6802324943108 :
wachaw
2026-11-04 19:48:27
0
sharmiin895
sharmiin😘😘😘 :
wanga
2026-11-05 03:01:06
6
...yamal
MSAKANOT® :
waislam nengi wasomi wa dini wengi
2026-11-05 03:20:22
5
user4544221701480
user4544221701480 :
Watu wa Bumbwin wakarimu
2026-11-05 17:55:58
2
mamyzazum
zazum :
watoto wari kukamatiwa ovyo na kutoana bila kikomo
2026-11-05 04:59:43
4
user3908160742501
user3908160742501 :
wakarimu
2026-11-05 10:57:38
2
user1299046904967
maitham :
Ndo ilokuwepo dining kubwa huko
2026-11-05 07:51:21
2
miss_beautifull25
miss beautifull :
ni watu wa watu hatujui kuringa na mtu na tumejaaliwa moyo wa huruma na iman pia 🥰🥰
2026-11-05 07:11:17
4
lukmanhemed
____luqman :
Wana Sayansi sana Alaf wanaruka balaaaa
2026-11-05 13:23:01
5
To see more videos from user @bukheit.altamimiy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About