@bukheit.altamimiy: old is gold vyakale Dhahabu Flying horse ❤️❤️❤️

Bukheit Altamimiy
Bukheit Altamimiy
Open In TikTok:
Region: AE
Wednesday 04 November 2026 20:20:48 GMT
19052
405
71
40

Music

Download

Comments

khatib9843
Mk :
sijawahi wala si tamani kuipanda.
2026-11-05 06:32:36
0
nassirnassor3
nassirnassor633 :
Nilitafunwa na tandu tena kule firstclass kwenye makochi ya mviringo.... siitaki hata kuiona
2026-11-08 06:15:09
0
samkipusa
SAM :
Sio kweli 89 haijaja
2026-11-05 19:08:36
0
amar.mussa8
Amar Mussa :
ninekoma mwaka 1211 mpka Leo sijapanda tena
2026-11-04 23:36:58
0
byser2626
Byser 26 :
2021 ten hvo nlichlew mkoani ck narud zng unguja itabd nikannua tiket elf 30 wllh ,nashkr nilifik salama unguj kw7b ukitok pemb kuja unguja ni kma unateremk kilima lkn ukitoka unguj kwend pemb km unapand kilima ni shida lzm ukfk umechok sn
2026-11-04 20:27:23
3
saidomar371
Said Cargo :
waongo hii inazaid ya miaka 50 znz
2026-11-21 19:06:17
0
najim.sharif3
NAJIM SHARIF :
Hiyo kama nyumbani tu kila sehemu ni tushaikanyaga na safari za usiku ishatusevu sana tu tushanunua chimsi sana tu humo na ishagoma kutembea ikawa inavutwa na kina kilimanyaro.
2026-11-07 17:39:52
1
henam68
Henam :
mm nimepanda tangu nipo darasa la pili Saiz nina watoto wawili
2026-11-05 13:41:28
0
user3421530520457
BABA MALYUN :
kwa mm mwanzo 1994 kipindi hicho mama yang anasafirisha mizigo dar inaondoka saa 6 na nusu mchana inafika zanzibar saa g na nusu alasiei na inaondoka zanzibar ucku saa 4 inaeda dar inafika alfajiri kila cku ndii safar zake na mara ya mwisho kupanda ni 2022 alafu mlangoni tiket zanzibar anapokea anko Khamis kihonda na Dar qlikuwepo jamaa mmoja mpole sana Mohd na booking ofis alikuwepo Muhindi Bashiru ZULFIKAR
2026-11-05 02:35:10
1
said.ibnusalum
Said Ibnusalum :
niliacha kupanda baada ya kuumwa na kunguni
2026-11-20 16:43:51
0
mudysongosongo2
MUDY MUDY :
hahaha mm nilipanda mara wa kwanza 1999 nauli ilikua 2000 mara ya mwisho 2010 nauli ilikua 15000
2026-11-05 09:25:28
1
user5072882537447
user5072882537447 :
mm nilipanda trh 11 mwezi wa2 mwaka2026 kutoka unguja kuja daresalaam
2026-11-05 17:52:47
1
msasani197
saleh :
1993
2026-11-04 21:31:27
0
ww.max.gmail.com
cybermax :
saiv ndo nimo ndan hpa unapita nakuona😂😂
2026-11-05 05:33:39
1
moonlight_255_
moonlight_255_ :
Boti iliyotulea wengi
2026-11-05 06:59:00
1
georgewatson01
BLACK PANTHER :
mara ya mwisho2011 mbovu balaa haikimbiii nilijuta mpak tangu hapo cjapanf tena
2026-11-19 18:39:06
0
master_2311
Said Said :
1999
2026-11-05 03:00:51
1
said.ibnusalum
Said Ibnusalum :
imenizidi kwa mwaka mmoja
2026-11-20 16:43:18
0
amealy218
Ame Aly :
Yan nlipanda kutoka daaa saa sita na nusu Zanzibar ilifika 12:45 jioni 🤣🤣🤣🤣 sema t uzuri nlipata demu umo umo mana tulikuwa hatuna cha kufanya siku nzima baharini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-21 20:40:39
0
makame.mbarak
MECKY MBARAQ :
hio meli hata miaka 60 inafika mana mimi naikumbuka tokea sina faham , mapka hivi sasa, mimesoma nimemaliza
2026-11-20 19:04:49
0
user627507461012
user627507461012 :
2020
2026-11-19 18:29:55
0
iddsaid170
Idd Said :
too long ship
2026-11-17 17:12:40
0
usermwantumu
TUMU ABAYA COLLECTION :
2009
2026-11-16 09:45:59
0
idrisaathumani48
idri5a o5man :
it's sitting horse now. ni miaka 15 hv sijapanda
2026-11-15 08:35:41
0
mimiyy_678
mimiyy :
mim mwisho kumbanda 2005
2026-11-04 22:58:25
0
To see more videos from user @bukheit.altamimiy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About