@kishkionlinetv: Kijana wa Coco Beach alivyomtolea Sheikh Nurdeen Kishk juu ya Mawaidha yake. ________________________ Tufuatilie KISHKI ONLINE TV kwenye: Instagram → KISHKI ONLINE TV Facebook → KISHKI ONLINE TV TikTok → KISHKI ONLINE TV ▶️ YouTube → KISHKI ONLINE TV #mtazamo #KishkionlineTv #nuruyadiniyako

Kishki Online TV
Kishki Online TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 20:25:04 GMT
60051
7992
242
106

Music

Download

Comments

user1035811447592
user1035811447592 :
mashaallah [Red heart][Red heart][Red heart]
2026-11-20 06:04:34
0
mwanaisha.mohamed54
Mwanaisha Mohamed :
taqbir allahu aqbar
2026-11-05 04:04:32
32
user55166559475
mamamunira :
ikikupendeza shekhe wetu msaidie mtaji huyu kaka naamini atakua mlinganiaji mzuri sana inshaallah
2026-11-05 07:33:31
48
husna.husna742
Husna Husna :
hii ndo raha ya uislamu mimi binafsi mawaidha yamenibadilisha sana nasikiliza masheikh wengi lkn kiufupi elimu kubwa nimeipata mtandaoni
2026-11-05 09:37:29
19
halima.cute93
Halima cute :
takbiir
2026-11-10 01:54:06
4
mudy785
mudy khan% :
takbri
2026-11-06 00:18:11
5
ramadhanisult
Ramadhani :
Wallahi Shekih ni fundi ka onyeshe uharam wa musique direct 😁
2026-11-05 07:24:43
2
shadiaafyawellness1
SHADIA AFYA WELLNESS :
kweli shekh kishk allah amulinde
2026-11-05 05:01:13
39
zainabmoshiabdallah
Zainab outfit 🛍️👗 :
Sheikh Kishki mtoe huyu ktk mziki mpe mtaji
2026-11-05 06:27:51
18
hawaadam73
Hawaa=♥️♥️🇹🇿 :
mimi pia natamani nikutane na kishki wallah
2026-11-04 23:58:17
12
qutyney0
qutyney :
mashallah Allah akufanyie wepesi Na akulinde Na mahasad shekhe wetu
2026-11-05 03:38:18
14
hassanroba30
Hassan roba :
mung mpe hekma zaid na maisha marefu zaid sheh wetu.
2026-11-05 03:52:12
11
halimakabandakamw
Halima Kabandakamwe :
Tunakufatilia xaaaaan shekhe wetu kishk Nurdeen, mwenyezimungu akupe maisha marefu uzud kutuelimisha ISHAANLLAH ❤️❤️❤️🫵🕋🕌🙏☝️🤲
2026-11-10 11:01:34
7
zeydy360
Zeydi :
tak biir
2026-11-17 07:10:08
2
salum.johari7
Salum Johari :
mzik aache tumchangie
2026-11-05 19:33:36
1
kitwana.tambwe
Kitwana Tambwe :
sheikh kishki Mimi natamani kuowa lakini nahitaji msada wako mchumba ninae natamani nimuowe Leo kesho lakini naomba kampani yako Yani unisapoti👏
2026-11-10 09:37:44
2
ibrahimkh8366
ibrahimkh8366 :
amini amini amini amini amini amini amini amini amini amini amini amini
2026-11-08 05:10:28
1
user8321050415712
mamii rushid :
mashallah [Red heart][Red heart]
2026-11-05 08:11:35
2
omary.shamsi2
Omary Shamsi :
mash Allah
2026-11-05 08:13:26
2
hafsatmohamed70
emeena mohamed :
shekhe shekhe wetu kijana anakitu ni maisha tu yamempeleka huko, naomba ufanye kitu tumchangie, watanzania wanaupendo mkubwa naamini
2026-11-11 07:57:37
1
karimbishokalito
Jackson Dollar💵 :
mashaallah
2026-11-04 21:41:52
4
babys4393
BabyS :
Kiukwel wallahi ht mm nilisoma madrasa lkn elimu zaid naipata mtandaoni
2026-11-05 13:33:53
2
user8014431107711
Nassor Chollo :
Shekhe wetu shekhe Nurdin kishki tunakukubali na tunakupenda Kwa ajili ya Allah shekhe msaidie huyo kijana atoke huko kwenye mziki ana kitu huyo atafika mbali🙏
2026-11-10 03:51:44
1
mkasi.mkasi3
Mkasi Mkasi :
Amin Amin Amin Amin
2026-11-05 14:41:05
1
zuuh.hamis3
zuuh hamisi3 :
takbir
2026-11-10 16:57:06
1
To see more videos from user @kishkionlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About