My Brother when you make good money buy that Mashine heal your heart 😂😂😁
2026-11-05 13:12:38
0
patrick_mindfullness :
kwann Modewji Anasemaje?
2026-11-05 01:36:46
2
Prince Charming 🏆 :
Bhna Maisha ni kuchgua 😂 Gari linaharibika nyimba nayo ikiungua je 😂 we ishi unavoina ni sawa tunakufa wakuuu
2026-11-04 21:39:00
2
Mr Profito :
huyu ni AI bila shaka
2026-11-04 22:20:30
4
simba_aluminium🦺 :
Mim nimeanz na nyumba na niko oky nishaon zalau alizopat baba angu nyumb za kupang siwez ludia wanangu waone😏
2026-11-05 05:42:26
3
CALVIN GADGETS💯 :
Aahhh with all due respect mzee ameongea fact ila nyumba ya kupanga ya milion 20 hamna, nunua tu crown kaka
2026-11-04 21:45:44
4
DM CLASSIC FURNITURE :
Bhanaa mzee acha izo we hakunaa nyumba ya kupanga ya kurange 10- 20M we nyosha tyu maelezo kijana inabidi apate kwanza mpira ata wa mtumba afu aendelee kujenga kidogo kidogo
2026-11-04 22:18:12
2
To see more videos from user @john_madeje, please go to the Tikwm
homepage.