Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@lowkey5534: Liverpool have lost six of seven away games against Turkish sides in the European Cup/UCL including five straight losses ❌🇹🇷
lowkey
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 04 November 2026 21:12:48 GMT
15
1
0
0
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @lowkey5534, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Dos fuerzas opuestas, pero que sabroso se los sonaron. #GenshinImpact #tsaritsa #mavuika #dejavu #lupicalderazor
Bro Made Us Lose… #brawlstars
صعب تنسانى
Wait guys😂😂😂wait for end😂😂 #dogfunnyvideo #dogmeme #funnyvideo #blowthisup #viral
Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi, amesema ushirikiano kati ya Real Madrid Foundation na Unicorn Zanzibar Sports Limited utafungua fursa za vijana wa Kizanzibari kukuza vipaji vya soka kupitia mafunzo yanayounganisha michezo, nidhamu na maadili. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo Oktoba 2026, mjini Madrid, nchini Uhispania, katika hafla utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina ya taasisi hizo, inayolenga kuanzisha programu maalumu za mafunzo ya soka kwa vijana Zanzibar. Amesema Serikali imeendeleza zaidi ya viwanja 30 vya mpira wa miguu katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar, na hatua inayofuata ni kuunganisha uwekezaji huo na maarifa, mbinu za ufundishaji na uzoefu wa kimataifa ili kuwasaidia vijana kufikia uwezo wao. Rais Dkt. Mwinyi amesisitiza kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfikisha kijana kwenye mafanikio bila mwalimu bora, nidhamu, elimu, miundombinu na mfumo unaotambua na kuendeleza uwezo wake. Ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kuhakikisha vijana wanapata mazingira yanayowawezesha kukuza vipaji na kutimiza ndoto zao. Aidha, Rais Dkt. Mwinyi amesema mafanikio ya programu hizo hayatapimwa kwa idadi ya vijana watakaokuwa wachezaji wa kulipwa pekee, bali pia kwa mchango wake katika kuwajengea nidhamu, kujiamini, kuheshimu wengine na kuwa na dhamira ya kutimiza malengo yao. Amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miundombinu ya michezo, kuendeleza vijana na kuimarisha ushirikiano unaoleta maarifa, uzoefu na fursa mpya Zanzibar, huku akieleza kuwa ana matumaini ya kuona vijana wa Zanzibar wakifikia viwango vya juu vya soka duniani. Naye, Mwenyekiti wa Unicorn Sports, Bw. Sergio Garcia, amesema kampuni hiyo inalenga kuanza na mafunzo maalumu ya soka, yakifuatiwa na kuanzishwa kwa akademia ya kudumu katika Viwanja vya Michezo Zanzibar. Ameeleza kuwa mpango huo unakusudia kuwaleta makocha wenye uzoefu kutoka Real Madrid kufanya kazi pamoja na makocha wa ndani watakaopatiwa mafunzo kupitia programu hiyo, huku akiishukuru Serikali kwa kuwezesha matumizi ya miundombinu hiyo katika utekelezaji wa mradi. Naye, Makamu Mwenyekiti wa Unicorn Sports, Bw. Mohamed Sleiman, amesema matarajio yao ni kupanua wigo wa programu hiyo ili kuwafikia vijana wa kike na wa kiume kutoka maeneo mbalimbali ya Zanzibar, hususan wenye vipaji ambao bado hawajapata fursa za kuviendeleza. Rais Dkt. Mwinyi amekamilisha ziara yake ya kikazi nchini Uhispania, ikiwa ni mwendelezo wa ziara iliyoanzia Doha, Qatar Oktoba 2026.
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy