@azam.sport.2.hd: SIMBA YAANZA MAANDALIZI MAKUNDI CAF CL Simba SC yaweka wazi mikakati yake Kuelekea mechi za hatua ya makundi LIGI ya mabingwa Afrika huku ikitoa mapumziko kwa wachezaji wake hadi November 9 Mwaka huu....... Meneja habari na mawasiliano wa club hiyo Ahmed Ally Amesema wamefaanya mazungumzo na serikali kutumia uwanja wa Uhuru na endapo marekebisho yatakua yatakamilika kwa wakati huo ndio utakakua uwanja wao wa nyumbani katika michuano hiyo.... Simba pia imekiri kupokea mwaliko kutoka Kenya lakini bado uamzi hujafanyika #Mshikemshike #NBCPremierLeague #nbcpremierleague #azamtv