@sheikhshariffjangri: #tanzaniantiktok🇹🇿 #uk #kenyantiktok🇰🇪 #dubai #qatar🇶🇦

sheikhshariffjangri Alqahsawiy
sheikhshariffjangri Alqahsawiy
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 November 2026 21:40:09 GMT
49032
1787
207
810

Music

Download

Comments

aysha_727
mjukuu wamimi :
Ukisimama na MUNGU hakuna kitakacho kupata
2026-11-26 06:59:33
8
itsmetuma37
Fatuma Dar es salaam 🇹🇿 :
nimetoka kuzitupa chooni sio mda Mungu anisaidie
2026-11-25 18:34:33
6
zainabuamady
Zainabu Amady :
Sasa mbona mna sema saizi watu tusha nyoa sana 😁
2026-11-05 04:00:17
14
mom.aboubakar
~Mom aboubakar :
Aaaaa nishaharibikiwa😁😁😁😁
2026-11-26 09:34:09
0
charaza.ramson
Charaza ramson :
Sehem sahihi ni ipi?
2026-11-25 16:42:47
0
fetty_225
fetty_lov :
nitaacha mana ndo nishazoeyq
2026-11-26 08:33:31
0
am20334
aM ♌️ :
Mh Msifanye maisha yawe magumu jmn
2026-11-05 05:52:01
18
mary_kassanda
bint-kassanda❤️🔒 :
duu nimenyoa tu Jana shekhe nafanyaje
2026-11-04 22:19:42
7
furahapaul760
mrs mawanja 💗 :
𝚍𝚞𝚑, 𝚜𝚊𝚜 𝚖𝚋𝚘𝚗𝚊 𝚞𝚖𝚎𝚌𝚑𝚎𝚕𝚎𝚠 𝚓𝚊𝚖𝚗
2026-11-05 14:54:42
1
chimaa9112
chimaa :
Mbn hamsemi mpm 😳
2026-11-26 06:11:40
0
042moddy
moddy luda :
dah kwann ujatuambia mapema nishafanya sana dah🙌🥹
2026-11-25 18:37:35
3
aishakipini2
Kipini Actress :
sasa kama nishawahi tupa chooni nifanyeje jamani 🙆
2026-11-04 21:47:03
5
kaburu335
kaburu :
katika hili cjui kama kuna mtu amesalimika😁
2026-11-25 11:58:58
3
chamima81
chamima :
bac m nitakua na mikosi mpk zinamwagika maan tang zianze kuota nichoon nanyoa Allah atulinde kwakwl
2026-11-05 05:47:11
15
biensrfille
Biensûrfille 💞💙❣️ :
Sheikh mbna umechelewa kutuambia sasa jmnii 🙆‍♀️🥺🤔
2026-11-05 04:34:56
5
sumaiyyamanua
sumaiyya manua :
musituchanganye jmn tng tulivyo Anza kunyoa mpk Leo alafu km unachumba kimoja na una watoto mbona mnatuchanganya bwana
2026-11-05 09:37:39
2
babemai92
Babemai :
Nimekwisha
2026-11-18 22:54:35
0
meshack.ligoha
👑KING MDUNGU☠️ :
Mungu ndiye mlizi wangu mikosi itakupata wewe unayejua
2026-11-19 20:42:28
0
rainida.haule1
rainida haule :
kwisha mimi
2026-11-17 07:16:29
3
mumysahel
Mumysahel-258 :
tobaaaa🙌🙌 nachoka mimi wallah
2026-11-25 08:15:03
1
user4241929352145
user4241929352145 :
mm ndio maana sinyoi
2026-11-07 12:24:42
0
user57840439690352
🐕‍🦺🐕‍🦺🐕‍🦺 :
Asante shehe mm nilikua nafanya hivyo 🙏🙏
2026-11-06 10:11:03
0
nuriatyyohana
Nuru🌟💫 :
jaman duuu mbona Nisha Fanya Sana mmm duuuuuu jamani umechelewwa kutwambia
2026-11-08 11:02:54
0
lilai050
Lilai Jr :
kila kitu ni mipango ya Mungu bana tuacheni kwanza yani kila kitu hakifai🤣
2026-11-05 16:09:57
1
zawadi_138
🦋Zaddy🦋 :
sahv ushaur umezd jmn
2026-11-05 06:59:52
2
To see more videos from user @sheikhshariffjangri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About