@molionlinetv: Mwijaku afunguka kuhusu bei ya gari la Zuchu aina ya Bentley! 😳 Anadai gari hilo linauzwa milioni 95 tu, tofauti na taarifa za milioni 800 zilizokuwa zikizungumzwa. Je, Unahisi ni uongo kuhusu thamani ya gari la zuchu ? 👀 #Mwijaku #Zuchu #Bentley #MoliOnlineTV #BongoCelebrities

Moli Online Tv
Moli Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 01:28:26 GMT
368332
22519
986
458

Music

Download

Comments

goggy12
Goggy :
hakuna mtanzania anaeza afford Bentley 🤣🤣🤣hi ni second hand
2026-11-05 04:28:38
100
abdallahselemani119
Dullah Tz Dullah :
huyu mbn hapendi maendeleo ya watu
2026-11-05 05:03:09
606
6000yeas
Mr ®Obs¢n :
mwijaku upo sahii hile ni old model
2026-11-05 04:55:10
346
felister.danlee
Felister Danlee :
linanikera hili baba mimi
2026-11-05 07:35:36
118
wareba_pius
wareba 1 :
kwa 95M zingekua nyingi kama crown
2026-11-05 08:09:04
252
saida.ramadhani8
Saida Ramadhani :
Hizo bei mmezisema wenyewe ila Zuu hajataja bei alonunulia bali amesema amenunua gar ya ndoto yake
2026-11-05 04:02:06
275
daxxy.wizy3
Daxxy wizy :
ushahidi huu hapa
2026-11-05 09:06:24
32
zagalomomade
PhD Classic :
gari ya zuchu ni ya mwaka 2009
2026-11-05 10:48:07
64
chibu_5
Chibu_5 :
JEALOUS 😂😂😂😂😂
2026-11-05 05:11:41
48
polar.ceo
🅟 🅞 🅛 🅐 🅡🎭 :
Waache wivu
2026-11-05 05:32:00
25
janeth78645
💚 Janeth 💖 :
Mke mwenzake Na zuhura huyooooo🥰🥰🥰
2026-11-05 06:37:25
52
emmy.aistories
cute emmy :
mambo kwa ushahid jmn 😂nmeenda kumuuliza chatgpt
2026-11-07 09:34:34
8
zai.ylisa
Unique Ai 🥰🦋 🌺 :
Nilitaka nishangaee😅😃huyu tena
2026-11-05 06:12:23
21
g_bill7
g bill :
ingekuws million 95 si ungeziona nyingi zinapita bongo
2026-11-05 06:16:40
50
siathebossmom
siathebossmom :
Nikweli af nanday ana hela kuliko zuchu
2026-11-05 05:50:51
33
nailahmsa
Nailah :
Sisi waKenya hatuelewi million zote hizo kwetu ni ngapi
2026-11-05 18:39:53
12
rynisher
rynisher🔐🦋🦋🦋 :
Yn mwijaku hajawah kumsifia mtu kwa wema anajionaga yeye t ss alitaka mama asifurah kwa mwanae kununua gar ata kam n old model bt n gar ya ndoto yake kasema
2026-11-07 00:31:12
5
juejulius
Jue :
Jealous
2026-11-05 03:15:45
26
bahathemmanuel
BM :
sipendi mtu anae fatilia maisha watu Mimi,
2026-11-06 06:49:46
7
bravian_sports_talk
Bravian Sports Talk :
Kwani lini zuchu kaongelea bei ya gari?
2026-11-05 08:01:58
7
shakira.a..banobi
Shakira A. Banobi :
Kweli kabsa upo sahihi Anko Mwijaku hilo gar la zuchu huwez lilinganisha na la Nandy we gar la Nandy Kali sana
2026-11-05 08:27:54
7
user3808787721vikram
Ahmed :
Mwaka jana siku kama hii tulizimiwa internet 😁😁🙌
2026-11-05 08:00:43
14
ummy.haji7
Ummy Haji :
wacha husda iyo
2026-11-05 03:58:20
20
somerandomguysubie
slime :
iyo ni bentley continental GT ya mwaka 2022. iyo ni 650M😂
2026-11-05 05:59:33
22
user3780401983442
Janny kay :
why punic mwijaku
2026-11-05 03:44:22
12
To see more videos from user @molionlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About