@molionlinetv: 🔥 STAN BAKORA APAGAWA! 😳 MSHTUKO WAKE BAADA YA KUSIKIA ZUCHU KANUNUA BENTLEY YA MILIONI 700! Tazama reaction ya Stan Bakora baada ya kusikia Zuchu kanunua gari aina ya Bentley linalodaiwa kuwa na thamani ya TSh milioni 700. 😂🔥 Je, hakutarajia Zuchu kuwa na gari la thamani hiyo? 👀 Tazama hadi mwisho! #StanBakora #Zuchu #Bentley #MoliOnlineTV #BongoEntertainment

Moli Online Tv
Moli Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 01:45:56 GMT
321089
32401
515
549

Music

Download

Comments

dar.pwani.viwanja
Dar & Pwani Viwanja :
$130k = 345M Tzs
2026-11-05 03:55:47
35
sapm594
Baba Lovenes :
mimi hata sishangai maana hela zilizo changwa kwa ajli ya mtoto zinaonekana
2026-11-05 05:20:00
413
glory66954
glory :
tunataka talaka yetu by fire by force
2026-11-05 16:49:46
17
omaryaltezza1
Chivayo Jr 💰 :
kutoka million 23+ mpaka million 700 kwa iyo hapa kilichoongeza bei ni rangi au ushuru..ok sawa ni wasanii hawa...
2026-11-05 03:09:58
83
khalfan897
khalfan🇹🇿🇶🇦 :
jamani tusome dola laki na 30 ni m700
2026-11-05 03:03:48
153
cutylove28
🫧CuTy💦🦋.. :
watu wa mahesabu kujeni tuweke sawa😂 dola1000$ ni 2,640,000 dola 10,000$ ni 26,470,000 Dola 100,000$ ni 264,700,000 Tz shlngs, Dola 130,000,000$ ni 344,250,000 🥹 iyo 700 imetoka wapi😂😂 jamani tusomeni
2026-11-05 08:07:15
49
jumakarongolela77
Juma Karongolela77 :
mbon zuchu hajasema bei gar, ila achotamka ni kwamba, amefurah kupata gar ya ndoto yake
2026-11-05 06:48:37
68
uniquesister26
Unique sister 💝🦋🍹 :
million mia thaba😂😂😂
2026-11-08 10:58:48
0
briluc
brilucky :
stani kuwa serious
2026-11-07 09:30:44
0
jaely425
J collection :
Watu wana wivu huku nje jmn khe 😂😁😁
2026-11-05 07:07:36
9
jourge_himself
Gee_himself :
yupo sahihi na kodi inafika M700+
2026-11-06 10:57:25
5
o_f_f_i_c_i_a_l_s4ngah
🅞🅕🅕🅘🅒🅘🅐🅛 🅢🅐🅝🅖🅐ツ💎 :
una juw watu ambach amjuw iyo bentley ni gari ya kifahari sana na zipo za aina 4 kuna bentley bentayga pia kuna continental GT na kuna flying spur na mulsane Zuchu kanunua Bentley Continental GT V8 Azure, ya rangi ya blue (samawati).bei yake ya kukadilia ni mil.680 iv labda na usafirishaji maan hizi gari zina toka united kingdom
2026-11-05 16:40:54
6
alpha.zone360
🅰🅻🅿🅷🅰 🆉🅾🅽🅴 ⚡💫 :
hapana zuchu ajasema maali bei ya iyo gari ndugu nwandishi acha uongo
2026-11-05 05:56:43
16
khax.p.mrisho
Clone :
Hii ni budget ya kutengeneza daraja 😂
2026-11-05 05:07:07
22
deboramussa818
miss dee❤ :
😂😂😂😂ila stan anavochekaga napenda
2026-11-05 17:11:40
9
angelmushi67
❤️angelonesmo🔐 :
ila stan😂😂🙌🏻eti zuchu kateleza sio yeye
2026-11-05 11:25:19
11
peterdimuller261
Peter Dimuller :
yan wabongo sisi gar ananunua mwingine interview wanafanyiwa wengine hii imekaaje
2026-11-05 06:31:37
10
reneeeeeeeee8
reneeeeeeeee🥰 :
Me nmecheka bana mtajua wenyew😂😂💔
2026-11-05 06:32:18
6
aminamadai933
Amina Madai :
stan utatuuwa😂
2026-11-05 04:46:11
12
daddystreasure21
Wema.xo🥰❤️🤏🔮 :
Jamani dolla 130,000 sio milioni 343🤣🤣🙌🙌au mi ndo sijui 🤣
2026-11-05 05:40:52
5
unknown.man8345
unknown man :
stan 😂😂
2026-11-05 03:34:37
6
raymz8
Husna :
130,000X 2680 =348,400,000
2026-11-05 09:26:15
5
warda11warda1
Warda Warda3100 :
2026-11-05 19:06:29
1
fety3664
fety💗 :
bhn kwa gari gani ile
2026-11-05 08:11:11
4
user7794787616622
estertangasi :
ila stan 🤣🤣🤣
2026-11-05 20:45:01
1
To see more videos from user @molionlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About