Me Ndio maana napambana na kazi sitaki mazoea na wanaume🥹🥴
2026-11-05 05:10:26
52
𝒵𝒶𝓎𝓃𝒾ℯ✨💎🌸 :
Sauti inamaumivu ila tulivu🥹
2026-11-05 05:41:16
30
Ratifa Jeradi :
makofiii tuliyokuwa single
2026-11-05 05:10:25
51
$ :
wadada me ntawaambia kitu kimoja watu wametofautiana sanaa kma ndoa ya mwenzio imekuwa mbya haimaniishi kma yko itakuwa ivyo kaa chini muombe Mungu wako akupe mtu atakayekuurumia 😊
2026-11-05 05:28:29
66
Giftedgirl71_tz🇹🇿 :
haya tulio single tuna enjoy maisha mikono juu 🙌🏿🙌🏿
2026-11-05 05:11:13
34
Am -Vicky 💞 :
Mimi ata msemaj ukifk wakat wangu wa kuolewa ntaolewa tuuu😌
2026-11-05 05:40:44
20
Mrs Me🤪 :
Sio wote wanateseka jamn, msikate tamaa ambao mnatamani kuolewa
2026-11-05 05:55:55
27
Dee🥰❤️ :
Hakuna mda sahihi wa kuingia ni kuomba mtu sahihi ata ukisubr ad 35 yako yale yale
2026-11-05 06:10:10
34
miss-rayaa🧸🌸 :
ilaaaa kupotezewaaa mudaa kunauma bhna
2026-11-05 08:23:01
12
Siami :
pole sn
2026-11-05 12:09:59
0
Rahma🥀🥀🥀🍃🌺❣️💋 :
Me hata nikiwa na miaka 40 sikimbilii ndoa 🤣🤣
2026-11-05 05:13:34
11
Smart girl ♥️ :
Omba mungu akupe mtu wakujali madhaifu yako na kuyavumilia 🥹🥹 msiangalie uzur na hel za mtu jmn
2026-11-05 04:59:22
37
Yo’galvee 🥀 :
She has a beautiful heart ❤️
2026-11-05 09:34:00
0
Restuta Avelin :
pole my Love
2026-11-05 07:46:04
0
Hannah❤️ :
ndoa ni kumpata anaekupenda,kukuheshimu, kujali,maana wengi tunakimbilia sasampa tutaona ndoa ngumu sana
2026-11-05 08:48:25
6
kelvingabone :
napenda sana kusema hili jambo tafuta mtu atakaye kuhurumia atakayehumia anapokuona huwezi aatakayefurahia kile unachofanya kwa ajiri yenu upendo mkubwa ni huruma
2026-11-05 06:40:10
5
Miss r❤️ :
Kila mtu Ana bahat ake jmn na wanaume wema wapo jmn ntkj na ushuhuda 🥰🥺
2026-11-05 05:55:12
9
massozy :
nawaambiaga visichana vinavotumiwa na mume wangu,naishia kutukanwa,na wanaendelea kutumiwa,mie nawatizama,maana hata mie nataman kurudisha siku nyuma
2026-11-05 04:35:06
11
cassie :
kabisa dada asante kwa ushaur
2026-11-05 04:30:05
6
Violeth :
Me nina 30 na bado hata sijawaza ndoa nawaza pesa tu.Ila kwenye boma wananisengenya sijaolewa mpaka sasa ila me siwazi nafanya mambo yangu.Naukiwaangalia wanao nisema wapo kwenye ndoa wameparara hawana hata mvuto ngoja me nitulie sitaki kukurupuka.
2026-11-05 04:45:39
6
🌸I'm Sharifa🩷 :
daah munaniogopesha jmn nilitaka kuolewa mwaka huu ila acha niache kwanza
2026-11-05 10:56:46
2
Hajra :
Me stk ushaur ntaend kujionea mwenyew🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂💔
2026-11-05 10:33:35
2
To see more videos from user @catherine.14_, please go to the Tikwm
homepage.