daaaaaaaaaaaaah pole San hya maish ndvy yalivyo 😅😅😅😅
2026-11-28 16:09:59
1
💯ASHAH👑👑 :
pesa sikitu maisha ubadilika😭😭
2026-11-28 10:55:44
2
magoja1234 :
daaaah naomba mungu anisaidie mambo matatu tuu mama bora kwa ajiri ya wanangu,nguvu za kutosha kwa ajiri ya kupambania taifa na familia yangu,hekima na busara kwa ajiri ya watu wanaonizunguka kama nguvu italeta pesa basi ni mapenzi ya mungu wangu NAWAKUMBUSHA WANANGU UKIPATA PESA KUMBUKA MUNGU KAKUTANGULIZA USIDHARAU ULIOWATANGULIA 💪 💪