@drizzyovoo: end up being the real loser #creatorsearchinsights #relatablecontent #fyp #blackhair

drizzyovoo
drizzyovoo
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 05 November 2026 03:06:55 GMT
351
49
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @drizzyovoo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

UJENZI WA MRADI WA NYUMBA ZA KIKWAJUNI WAANZA, MAUZO KUANZIA DOLA 122,990 ✍🏻 @rashidbattashy  Ujenzi wa mradi mkubwa wa makazi ya kisasa katika eneo la Kikwajuni, maarufu kama Kwa Mjerumani, Zanzibar, tayari umeanza, huku kampuni ya @infinitydevelopmentsofficial  ikitangaza mauzo ya nyumba hizo kuanzia dola za Marekani 122,990, hatua inayotoa fursa kwa wananchi wa Zanzibar, Tanzania na Watanzania wanaoishi nje ya nchi kumiliki nyumba na kuwekeza katika eneo hilo. Kwa mujibu wa kampuni hiyo, mfumo wa mauzo unaruhusu wanunuzi kufanya malipo kwa awamu, utaratibu unaolenga kupanua fursa kwa wananchi wengi zaidi kumiliki nyumba hizo za kisasa zitakazojengwa kwa kuzingatia mahitaji ya makazi na huduma muhimu za kijamii. Mradi huo unatarajiwa kubadilisha mandhari ya eneo la Kikwajuni na kuwa mji wa kisasa wenye makazi bora, maeneo ya biashara, shule ya kimataifa ya GEMS International yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 1,500 pamoja na huduma nyingine za kijamii. Akizungumza kuhusu uwekezaji huo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar, Sultan Said Suleiman, amesema mradi huo unaotarajiwa kugharimu si chini ya dola za Marekani milioni 50 ni chachu ya kufungua fursa mpya za kiuchumi, kuongeza upatikanaji wa makazi ya kisasa na kuboresha matumizi ya ardhi katika mji wa Zanzibar. Amesema utekelezaji wa mradi huo unaendelea kwa ushirikiano kati ya Shirika la Nyumba Zanzibar na kampuni ya Infinity Developments, huku kazi za awali za ujenzi zikiendelea katika eneo hilo. Mbali na kutoa fursa ya uwekezaji na umiliki wa nyumba, mradi huo pia unajumuisha nyumba 59 za fidia kwa wananchi waliokuwa wakiishi katika eneo hilo, ambazo zinatarajiwa kukamilika na kukabidhiwa kwa wamiliki wake ndani ya mwaka mmoja. Mradi wa Kikwajuni ni sehemu ya uwekezaji unaolenga kuleta sura mpya ya maendeleo ya mji wa Zanzibar kupitia makazi ya kisasa, biashara na huduma za kijamii. KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU UNUNUZI NA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA NYUMBA HIZI, WASILIANA NA INFINITY DEVELOPMENTS KUPITIA: Simu: +255 750 555 999 Tovuti: www.infinityhills.com

About