zamani ilikuwa wakiolewa goals zao ndio zinaishia hapo,wana Anza kutekeleza goals za mume,siku hizi ni balaa hivyo guy lzm tubadili mind set,mkeo wa sasa hawezi kua kama mama Yako
2026-11-05 15:39:47
139
Lady Montana🥰💋💝 :
finally mtu anayeon utu wa mwanamke
2026-11-05 14:39:53
78
Akira :
mbona unatoa Siri zetu🤣
2026-11-05 07:45:14
41
runu :
Yaan eti hata ukiomba ruhusu ya kwenda mahali anaweza kukukataza nawe ukakubaliii,wanaume bana wanatuona sisi kama tumekuja kuwalea wao tu😂,hapo hata mia hakupiii,ukae tu msubiri nyumbani kwakee😂😂,haaa na Goals zangu nazitimizaje??!!!
2026-11-12 06:52:06
6
itsrealrey :
:Leo nahisi nataka tu nikwambie hivi, usisahau jinsi Mungu anavyokupenda. Yesu alijitoa mwenyewe msalabani kwa ajili yetu, si kwa sababu tulikuwa wakamilifu, bali kwa sababu alitupenda. Natamani umjue zaidi, uelewe upendo wake na uishi kila siku ukitambua thamani yako mbele zake.
Warumi 5:8
2026-11-05 19:41:48
26
op gazulo :
mbona unachoma kibanda mkuu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-06 05:15:56
8
Jojo sanga 🥰 :
amini kwamba
2026-11-06 04:17:57
9
mwakikali :
Tumeambiwa vitu vingi sana, ukitulia unaanza kuelewa tofauti na ulivyoambiwa na ilivyozoeleka(uhalisia), WAKE UP
2026-11-05 06:47:17
12
Janeth Lujara :
smart man
2026-11-05 18:12:40
7
Quinn🇨🇦_007 :
Oiii oiiii🤣🤣🤣
2026-11-06 12:34:32
1
itsᖇ_ :
unaharibu 😂
2026-11-05 16:13:23
2
SIMULIZI ZA ELIZA 25r5 :
na ukaona utoe Siri mwanetu😂😂
2026-11-06 15:59:02
1
Glory Mtanga :
ana crush wake
2026-11-06 15:21:14
1
. :
sahihi kbs
2026-11-05 05:57:58
3
Evelyne Gimbi :
2026-11-05 12:29:39
3
Minnah_outfit :
2026-11-12 14:19:17
1
𐙚𝓘𝓽’𝓼 𝓙𝓮𝓼𝓼𝔂 😊🌸 :
2026-11-06 11:20:17
1
Sagittarius Queen♐️ :
Kwani kwa nini unasema sana lkn 😂😂😂
2026-11-05 12:52:03
3
Riri :
2026-11-05 14:22:35
2
roseharry :
mbona unatoa code bro
2026-11-06 17:11:29
1
CPM :
kweli kabisa💯💯
2026-11-05 21:15:27
1
Jabrani winga :
2026-11-05 06:25:23
2
Berry_Clinic :
huyu kaka ana akili saana ....
2026-11-06 04:00:17
1
top-tier ✨ :
2026-11-05 15:09:28
1
To see more videos from user @beyondpodcasttz, please go to the Tikwm
homepage.