Kwanz wembamba tuje hapa tujadili hili suala binafsi sijapenda ☺️☺️☺️
2026-11-05 10:15:35
397
Rebeka :
wembamba ni asili yetu bahna usitufikilie vbaya 😂😂
2026-11-05 08:11:59
107
𝓲𝓽'𝓼 𝓶𝓲𝓻𝓻𝓲𝓮 ✨ :
tena utakuta anaitika "me mzima wa afya hofu kwako"🤣
2026-11-05 17:08:07
43
Sandra bby :
wembamba wangu ulinifanya nkapata kazi!! mwenzngu bonge akatolewa ju anachoka Kila muda ata kazi zake nlikua nmufanyia ju ya kumhurumia🤔🤔 wembamba semeni khaai 👋👋
2026-11-05 12:10:32
69
dee💘💞💞 :
mtajua wenyewe bhana😎🤣🤣🤣
2026-11-05 08:28:33
16
💓🍒love me🍇🧚🔥 :
watu wengine Kam walitumwa😅😅😅ninekuwa sio mzm ningetembea🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-05 05:47:15
48
Ockran mumy💘💘 :
msitugombanishe na wenye visukar na presha 😁😁😁😁😁😁 wembamba 2na ufalme we2
2026-11-06 18:52:49
11
Ollie of Grace :
memes zingne bwana zinakatisha tamaa ya kuishi tunaonekana hatuna thaman jaman daah😳
2026-11-05 10:06:18
17
I'm 🦋Dielo💫 :
ulieandika hii nitakutafuta kwa wakati wangu😂
2026-11-05 11:59:52
23
Fetty Nina :
chakusema ukinenepa unakua mshangazi em kwanza mniache na wembamba wangu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 04:25:28
6
Nuraty :
jamn mtu ache na miili yetu
2026-11-05 11:14:19
8
lejinah David :
kwan Kuna kiungo gan kilichokosekana kwenye mwili wangu kinachofanya nisiwe mzima 🥺
2026-11-05 09:41:08
5
Da G :
kweli
2026-11-09 15:17:05
0
hanimu :
ila sio siri wadada wembamba ni warembo sana
2026-11-05 20:34:30
9
🕋بی خدیجہ 🧕 :
yote ni mipango Ya Allah Alhmdlh napumua😔
2026-11-06 14:18:30
5
shamy Khan :
Mzima Ndio ndomaan natembea 😂😂😂😂lakin nabebeka Kwaiy sio shida zang
2026-11-05 08:24:46
8
KiBo KiD🗽 :
ndo mshaambiwa hivo hamna chakufanya na sitaki kusema mimi nimelewa
2026-11-05 06:44:05
5
kidoti :
hili nalo limeniuma😂😂
2026-11-06 12:02:10
1
baby phay☑️ :
uzima wa milele🤣🤣
2026-11-10 20:22:00
1
Recho@^ :
[Laugh approved] ko me nusu au cio
2026-11-05 20:49:07
0
Happy Fredy :
ndo uniseme mbele ya tiktok
2026-11-05 15:46:57
0
~Norhia 🤗🥰 :
Kwan nilikutuma unasalimiee 😂😂😂
2026-11-05 12:32:10
0
Lummy :
bc mtusamehe haturudii tena kuwa wembamba.☺️☺️
2026-11-17 20:49:18
0
Hindis_bits :
Haya wembamba vitu vyangu kabisa mje hapa chaaaap
2026-11-06 21:18:03
1
To see more videos from user @mr.ngosha71, please go to the Tikwm
homepage.