@talkboutitwithconradley: Kuna tofauti kubwa kati yaku mpenda mtu na kiwango cha amani unachokuwa nacho unapokuwa nae. Wewe kama kwenye ndoa yako ama mahusiano yako muda wote ni kama umekalia debe tupu tunahitaji kuzungumza. Kama ni mwanamke, nimekuwekea kitabu cha Maisha Mapya baada ya Machozi kwenye website yangu ya www.conradley.com (kwenye bio) hiki kitabu kitakutoa kwenye kichaka cha maumivu ulichopo na kukurudisha mjini kuanza kuyaangalia maisha kwa mtazamo wa tofauti. #Love #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tiktok