nilifanya maamuzi ya kuondoka ni miaka mitano sasa na hakuna hata mtoto wangu amenijulia kwa simu ni mimi tu ndio napiga simu. watoto wanakua upande wa mama yao siju zote.
2026-11-07 05:27:35
4
James Boby :
umealikwa katika annual men conference yetu ufanyika pale Nairobi
2026-11-05 09:16:55
10
klemenskomba :
respect
2026-11-23 07:27:22
0
Ken Achuma :
ukweli huu ni ushahidi tosha wa yale yalimkuta babangu mzazi...watoto tukaaminishwa baba ndiye alikua mbaya,kumbe matokeo yalikua kinyume. sasa nimekua mwanaume,tena mzazi wa vijana wawili ninayoyapitia n ushuhuda tosha
2026-11-06 13:55:10
3
Flora Mhawi :
vipi kwa mwanamke yani geuza hayo yawe kwa mwanamke na mimi nifanyeje
2026-11-05 08:48:41
1
user8853229904315 :
ni kweli dada ! nanaona hivo hâta muke afanye kibaya watoto hawaoni
2026-11-05 09:14:57
2
Choi Kismat 8😜 :
kwann clip zako zinanifata sana
2026-11-21 20:51:22
1
matabishi :
nikweli
2026-11-10 19:35:43
0
Gabriel Fils :
Aksanti
2026-11-05 23:16:07
0
Baraka Katunzi :
watoto tunawapenda ila kweli ni wanafiki,, yaani mimi nawafanyia mazuri ila najua malipo hakuna kabisa
2026-11-07 08:47:09
2
Peter Melimeli :
uko poa dada nimependa maneno yako yahekima
2026-11-11 14:35:59
1
HeMaVicNo :
it's true ilitendeka kwangu na nimeyaona kwa
ngu
2026-11-11 03:50:40
2
robertonyiego :
asante madam nisaidie namba yako ili unisaidie ushauri
2026-11-07 16:27:28
1
Anto Muli :
kabisa umeongea ukweli
2026-11-08 12:24:59
2
Nathaniel Muigai :
edelea kutuchnua👍
2026-11-12 17:40:06
1
nyamweyamarasi :
Well articulated
2026-11-07 00:52:43
1
Giovanny kahimba :
nilisha ondoka kitambo
2026-11-05 16:42:40
2
Frank Jackson :
ukweli mtupu👍
2026-11-09 14:28:40
1
user2719944566223 :
ukweli
2026-11-08 06:18:01
1
king Fonse :
tunakwamini sana mamawetu.
2026-11-05 13:10:43
1
jimmy :
ukweli mutupu ubarikiwe dada Mungu akupe hekima tena
2026-11-06 21:38:04
1
Omar Juma :
sawa dada
2026-11-06 09:51:59
1
Niko--Ambae-- niko :
Ee mwenyezi MUNGU Wambinguni NiTUNZIE huyu
2026-11-06 13:48:59
1
chrispinmsigwa :
sana tu
2026-11-05 16:09:02
1
To see more videos from user @evodiachambulikazi, please go to the Tikwm
homepage.