@mchina_mafursa: WhatsApp: 0789 011 879 Delivery:🚚 0712 335 021 Mikoani :📍 0767 011 879 Tuandikie order,screenshot bidhaa unazoitaji kabla hujasahau boss Karibu Dukani Magomeni Kanisa la Catholic 📍 Ukihitaji bidhaa mbalimbali za matumizi ya nyumbani na biashara, unaweza kutembelea duka letu moja kwa moja au uka-request Bolt/Uber mpaka dukani 🚖 🕘 Tunafungua kila Jumatatu hadi Jumamosi ⏰ Kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 2:00 usiku #creatorsearchinsights #fyppppppppppppppppppppppp #foryou #viral #foryoupage

MCHINA MAFURSA
MCHINA MAFURSA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 04:47:01 GMT
15379
304
18
65

Music

Download

Comments

mc_cessy
Mc cesy :
kama ni hivi niletee
2026-11-05 05:59:45
0
user7506182487584
elinuru 2015 :
mko wapi
2026-11-05 06:23:20
0
princekagina
Prince Kagina :
me nahitaji godoro ilo la 38 bad lipo
2026-11-05 18:53:01
0
zizzou.lity
zizzou lity :
madam Kwa Urahisi Ungefanya Bei Ya Pamoja Kuliko Kutenganisha BEI
2026-11-05 17:16:43
0
mariam.iddy81
Mariam Iddy :
hiyo pamp haitumii chaj
2026-11-05 08:35:40
0
senorinasakaya
senorinasakaya :
kwanini bei mbili tofauti wakati vinakuja kwa pamoja
2026-11-05 15:32:21
0
picky.girl883
picky girl :
Godoro na pump ndo elfu thelathin na nane au ni separate na pump
2026-11-05 11:13:01
0
majira20
majira :
mpo wapi
2026-11-05 06:31:19
0
paulmalema
paulmalema :
unapatikana wapi
2026-11-05 05:52:24
0
frankjulius5
la masia boy :
kwa watoto wangu watalichana na wembe
2026-11-05 06:34:24
0
jibrotha.1
M.Rajabu Majuto :
nipo kibaha mailiimoja nalipataje pamoja na. pamp?
2026-11-05 06:35:03
0
user7506182487584
elinuru 2015 :
38ya kitanzania ama
2026-11-05 06:23:12
0
eliza.john077
Eliza John :
Yaani nyie ni waongo mbona tukiomba huduma mikoani haitufikii?
2026-11-05 12:22:55
0
ngunguhu.seleka
ngunguhu seleka :
💯💯💯
2026-11-05 12:40:05
0
To see more videos from user @mchina_mafursa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About