@itsmoseley: UKWELI UMEFICHUKA ZUCHU AMENUNULIWA GARI NA DIAMOND SIO YA KWAKE SIRI IMEJULIKANA TU #foryoupage #trending #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryoupageofficiall
sas je nilijua tuu kuw zuch amesaidiwa na sandra diamond na mama ake ila nady kapamban bhn mungu amjarie nandy jaman nampend sn yul dad🥰🥰
2026-11-05 07:22:14
4
Ajira :
Nandy jesh❤️❤️
2026-11-05 15:42:30
0
bby love :
shida zuchu kununua gari ndo mnaumia ivo du
2026-11-05 07:56:42
21
Aniya G :
Nandi ni jeshi la mtu mmoja
2026-11-05 09:44:49
10
Carol Shirow :
iko sawa bora wote wako sawa
2026-11-05 06:26:50
5
its"cute H😍😍🥰 :
hii nchi kuna sehemu imetoboka
2026-11-05 11:04:38
3
daetu :
umbea tuu zuchu kanunua mwenyew Achan husda
2026-11-05 11:36:09
0
setiel :
nand jmn nampenda hata iweje nampenda namkubali
2026-11-05 09:44:37
6
F Maika :
jamani embu muacheni zuchu wetuu
2026-11-05 07:38:22
9
neema 🥰🥰 :
jmn mwacheni zuchu
2026-11-05 08:53:15
4
it's zaki 💖 :
nashindwa kuwaelewa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] bc mninunulie Toyota nitashukur
2026-11-05 12:13:09
1
🦋 queen 🦋 :
hiyo ni wivu tu
2026-11-05 16:18:55
2
$€N!0R B£TTy💕 :
Kwan ubaya uko wp jmn sikanunuliwa na mume wake lkn ata kama kasema niyake
2026-11-05 06:48:13
5
zawadi🇺🇲🇨🇩 :
nandy is boss [Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-05 08:23:17
0
trueboy037 :
Kwan si mke wake jamn kinashida gan jamn
2026-11-05 07:09:11
3
Aziza Mohamed :
gari gari tuu kwani kuna mashindano jamaani
2026-11-05 08:45:16
2
levinaexavery618 :
Mimi nauliza nini shida??
2026-11-05 07:37:33
2
Best mwasi :
Nandy yuko peke yake namupenda sana
2026-11-05 14:41:27
1
ibrahimibrah548 :
ninavyomkubali Nandy,mmmh hawawezi kunihonga
2026-11-05 05:30:52
5
vanesa :
bado nand yupo juu kwasabab zush ame nunuliwa alafu nand alijinunulia bila kutegemea msaada
2026-11-05 07:22:18
1
Rose Adam :
hongera zuchu we tamba to maana wenzio huwa tunapewa ofa na wapenzi wetu huwa wanatumikia maindi ya kuchoma hao wanawivu too fanya jambo jingine watumie zai nakupenda sana zuchu
2026-11-05 10:47:23
0
damalis :
mwana umemuzima umbea tu
2026-11-05 06:44:49
2
Rahmazuberi :
eewe mungu nibariki na mimi .maana hata guta sina
2026-11-05 06:36:21
2
Rukia Muhidini :
yawatu yanawahusu nn
2026-11-05 06:36:27
2
ney cute❤️🩷 :
kwaiyo
2026-11-05 06:52:18
2
To see more videos from user @itsmoseley, please go to the Tikwm
homepage.