Kuna vitu siyo vya kuficha ukiwa unaanza mahusiano na mwenza wako
1:Umri
2:Mangonjwa
3:Watoto
na mengine kama inawezekana jaman
2026-11-05 05:38:54
215
🎀🧸 :
Afadhali amekuambia nimechok kujificha
2026-11-05 05:57:39
137
Zizer cute❤️🦋 :
Sio nishawahi kua na mtoto sema una mtoto[Tears of joy]kwani ayupo teena[Tears of joy]
2026-11-05 06:25:42
65
¥ÙZZØ 😎🤏 :
nikisema *Single*, mnasema Power
Single!! 🤣
2026-11-05 08:09:18
51
LilyDaud💞💞💞💞💞 :
dada usijieleze xana mwache aende
2026-11-05 08:52:43
46
mrs nobody💦💬 :
jmn msimlaumu uyu dada Kuna vitu haviielezeki 😭😭
2026-11-05 05:18:01
87
yasinta kimambo :
kwa hiyo mtu asisahau kama ana mtoto jamn
2026-11-05 23:14:48
5
BRITNEY 🍁🤍 :
me nakwambia mapeeeeeema kama unankataa nkatae kabla sijakupenda vizuri 😅😅😅
2026-11-06 13:04:42
5
👑SIMBA BINGWA🦁🇹🇿 :
Jamani mnge mtowa uyo 😂😂😂
2026-11-05 05:02:26
22
Elia Bahathi :
zenyewe tu zinakuja
2026-11-05 05:05:26
9
grace_em24 :
guys mwisho wa siku uyo kaka alilainika 🥰🥰🥰 nimeona yutubu😁😌ila uyu dada nmependa anavoongea kwakwel ata mm ningelainika🤭😚😚😅😅
2026-11-05 05:51:32
14
Covuh.kidayo🌴 :
Mbona mwanamke ana upendo tuu brr mtoto kitu cha kawaida leo tuu kaka uyo sawa na mwanao🥰
2026-11-05 12:12:29
0
OFFICIALL 🍏CHUTZ :
Iyo leo iyoooooo
2026-11-05 05:06:25
12
mikkims :
ulishawai saiv kaenda wapi🤣🤣
2026-11-05 06:47:56
1
A humble 🧒 🥰❤️ :
Me akisema nshawah kuwa na mtoto nahis hasra Kwann usiseme nina mtoto jaman
2026-11-05 14:45:31
1
King Dan Pali :
Hz dharau kabisaa family🔥🔥🔥
2026-11-05 05:41:48
9
It'z berry🍓🍓 :
sasa na yeye anamwambiaje hapo
2026-11-05 14:06:52
0
Twins JJ❤️🫂 :
kitu ambacho siwez ficha ni mwanangu aseee ukinipenda nipende ukiona sio level zako kwenda siwez ficha damu yangu kisa litoto la mtu tumekutana ukubwan😂😂😂😂
2026-11-08 13:24:59
2
Dorrah Nyamika :
msamee uyu dada
2026-11-07 14:07:07
1
SISTER V :
Sasa kama akumuliza jaman angeanzaje
2026-11-05 14:33:35
0
John's n :
tatizo sikuskii😅😅😅😅
2026-11-05 08:20:30
3
bintmfaume355@ :
alishawai kuwa na mtt,ama anamtt??
2026-11-05 19:58:08
3
recho mwinuka❤️❤️❤️❤️❤️ lov :
dada uy kaka akupend
2026-11-05 20:24:15
2
Reen. Cakes :
Chama kimeongeza mtu😁😁single. Power
2026-11-07 02:46:43
2
reneeeeeeeee🥰 :
Ad rahaaa jmn watu wakigombanaa najiskiaa rahaa mm niwe single pekeang mnawazimu😂😂💔💔
2026-11-05 15:15:45
2
To see more videos from user @mrochutz5, please go to the Tikwm
homepage.