awee me naingia nikaone kupoje kam hakunifai si natoka
2026-11-05 08:36:44
74
Säyli :
pia ndoa sio ngumu kiasi hicho inatengemeana na aina ya mtu aliyekuoa
2026-11-05 10:32:19
42
Pri the expert🪡💞 :
mm nimechizika relationship tuuuh linanitesa sebuse ndoa hapna 😭🙌
2026-11-05 13:01:51
0
ساشا موني🌺 :
Oman mitano tena [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-05 13:14:09
0
greyG❤️❤️🥰 :
kuolewa ntaolew haijalish watu wanasemaje uku njee. kil mtu anapito lake
2026-11-05 10:07:56
15
shadya :
me kuolewa sitaki
2026-11-05 10:27:07
0
jose man :
kabisa mungu ndo anapanga
2026-11-05 09:17:49
5
Sallie 🩷 :
naolewaaa bnaawaaaaaaaa
2026-11-05 15:18:56
3
Scola Alex :
kiukwel natamani kuingia kwenye ndoa ila nikiangalia watu wanavyopitia naogopa ila ndoa NAitaka Kila MTU atakunywa kikombe chake huenda haikuwa ridhiki so sad 😭😭
2026-11-05 07:53:59
6
judithmollel0 :
Hv mtu hawez fungishwa ndoa akiwa amekufa??? Yan kama mm nmekufa nfunge ndoa na mume wangu au kama yeye amekufa mm nfunge nae ndoa 😭😭maana ndoa za kuwa hai n ngumu sana jaman🙌🏼🙌🏼🙌🏼
2026-11-05 16:33:59
1
reem :
nawashauri mabinti zangu olewa na mwanaume anayekupenda siyo unayempenda na ukijiona ww ndo unapenda tambua umeumia
2026-11-05 13:44:50
1
Vivian 🏵️🌺 :
Kwa ambaye amemsikiliza huyu dada Kam ajalia sijui
2026-11-05 14:24:58
1
Adelina Nyenza :
ndoa zilikuwaga zaman sio sasa
2026-11-05 15:26:38
0
SYSTEM MBWENI JKT :
mungu nijalie nipate mke mwema atakaenisikiliza na kunifariji ktk shida na raha
2026-11-05 15:13:34
1
Ziza💞💕 :
Jamani jamani siokuzuriii khe
2026-11-05 07:28:18
1
Micky wizzy leeh :
msiogope ndoa na kamwe wanawake msitamke kuwa hautaki kuolewa au stak ndoa kwa kuona matukio ya wengne...usikate tamaa akija yule sahihi olewa huku ukimkabidhi MUNGU ndoa hiyo na msingi wa ndoa hiyo iwe YESU pekee wala sio tamaa, pesa na Maslahi maisha ni mafupi
2026-11-05 08:58:01
1
Mariam Eliazali :
pole sana
2026-11-05 08:45:20
0
vévé❤️ :
Bora kulea watoto yatima kuliko kuolewa ntawachangia Sana harus zenu msijal♥️
2026-11-05 10:01:35
2
tihan :
Tusikate tamaa ya ndoa kwa sababu ya changamoto za wengine. Wazazi wetu walivumilia mengi ili sisi tukue katika misingi ya familia. Ndoa nzuri zipo nyingi, ila watu wengi hawazizungumzi.
Tusifurahie kuvunjika kwa ndoa wala kusahau umuhimu wa malezi bora kwa kizazi kijacho. Si kila maumivu au furaha inahitaji kuwekwa mitandaoni. Huwezi kujua Mungu amekupangia nini kesho.
Tuwe na kiasi, tuheshimu ndoa na tusikate tamaa ya kujenga familia bora.
2026-11-05 08:28:20
0
Mamaa♥️🦋 :
Oleweniii wadogo zetu 😂😂😂
2026-11-05 09:06:33
0
S H A L U A :
Mungu hawezi kupanga watu wake wateseke iwe katika ndoa, uchumi, afya n.k sometimes na shetani ambae ni baba wa uovu tangu mwanzo ndiyo sababu ya watu kulia na kuumia kila siku na kama Mungu ataruhusu uteseke basi ni kwa muda mfupi tu lakini katika hayo yote hautahisi kukata tamaa wala kuvunjika moyo as he will be with you.
2026-11-05 13:44:34
1
MissGauNova👑💫 :
your destiny can't be my destiny and name of jesus 🙏🙏
2026-11-05 12:54:34
2
𝑣𝑒𝑙𝑚𝑖𝑟𝑎😍💕 :
Me kuolewa lazima😂😂 hataa msemaje?
2026-11-05 12:07:53
0
💧 Ney National 💫✨ :
Mambo ya ndoa tuwaachie wazee ila sisi vijana tunauwana mateso matupu
2026-11-05 12:18:34
0
user356027449047 :
ukitaka ndoa Dada biti usisikilize mitandao Kuna upotoshaji mkubwa mno na msijifunze kwa walioshindwa
2026-11-05 17:26:06
1
To see more videos from user @aiem217, please go to the Tikwm
homepage.