hizo ni shamrashamra za kuawatoa wananchi kwenye mfumo wa kudeal na hukumu ya lissu. hela zinapigwa sana na hakuna hatua inachukuliwa
2026-11-05 06:19:23
32
Royal homes design :
jinsi uwanja ulivo Bln338 ni sawa kabisa bln 187 unajenga uwanja lakini sio standard ile
2026-11-05 06:21:02
13
Denis Mathayo ( BABA USHAURI) :
napambania maisha yangu ya uwanja sioni tija kwangu japo😂
2026-11-05 14:13:47
1
Chris Mpangala :
Haupo makini kama unavyodai. Amekuambia,nia ilikuwa ni kujenga uwanja wa kawaida kwa vigezo vyetu, ambapo ilikuwa ni sh.bill.187, ulikuwa haujasainuwa bado.
Baada ya kukubaliwa ya CAF, ilibidi gharama ziongezeke kwa kufuata standards zao. Na hapo sasa mkataba ukasainiwa. Mbona jambo hili liko wazi na linaeleweka
Lkn pia kulinganisha na uwanja wa Mkapa ambao ulijengwa miaka 20 iliyopita pasipo vigezo vya Caf. Pia angalia bei ya cement na nondo miaka 20 iliyopita!
Yani hapo mkanganyiko Sasa swali linakuja hapo hapo waliopo fuata vigezo vya CAF walilejea kutoka habari kwa bunge au kwa rahisi kuwa kwa vigezo vya CAF kiwanja cha Arusha stadium kimefikia billion 338 badala ya billion 187 kwa umma au kwa serekali
2026-11-05 12:43:20
0
FEMONE SHOP🙏🙏 :
Magufuri angekuwepo aisee pangechimbika hizo pesa watu wangezitapika😂
2026-11-05 09:08:51
7
robben mpangala :
sasa Professor hiyo ripoti CAG ameitoa wap?
2026-11-05 06:09:32
7
TISTAR :
Kwa nn nchi inajengw kaskazin tyu mtwara VP wakat tyunalisha ges East Africa,hatyuna ler,uwanja wa ndege,wa kisasa ,stend,uwanja wa mpira wa kisasa,Barbara...ni mbovu Kwan nchi ni wazaramo na wachaga au oyaaa uvumilivu utafk mwisho wake ohhh
2026-11-05 06:36:21
6
FELLY@7619 🇹🇿❤🙏 :
Mmmmmh...!
2026-11-05 07:49:22
0
juma janka jr :
Big brain 🧠
2026-11-05 11:19:22
0
peki :
mbona Msigwa ana catch feeling, ukiona mtu anajibu kila mtu kwenye mtandao ujue kuna shida
2026-11-05 07:18:22
9
Alhikma bin Nassor :
Tumepigwa tunywe chai tukalale hata ukisema washatupiga na hatuna vya kuwafanya
2026-11-05 07:27:15
1
@Chris_towntz :
tunatak viwAnj vya kisasa na syo viwanj vya riadha running track za nn asa
2026-11-05 12:14:04
1
OMMY KHAN :
🫡😓 daaah nish mku mbuka Mjomba maguu [Pray]
2026-11-05 11:59:27
2
Nshaishimie :
anamaanisha ivi, serikali ilikua na mpango wakujenga uwanja wa ligi kawaida na makadirio yalikus bil 178 lakini kwa kua walikua wanataka kuunganisha ma michuano ya AFCON basi kwa zile standard za CAF wakakuta bei imefika bil 338, hata ivo uwanja wa mkapa nao ulijikuta unakosa vigezo vya kuandaa mashindano ya AFCON kwa zile zile standard zilizopo
2026-11-05 07:58:11
0
FILAE(food is life and energy) :
kwanza kwanini deni lataifa lina ongezeka na wakati wanafunzi baadh ya shule hawana madawati
2026-11-05 09:50:04
1
Elton :
hii kauli ya "Tanzania sio kisiw" ikisemwa moyo huwa unadunda sana.
2026-11-05 07:14:35
1
Kwame Nkrumah🇬🇭 :
professor ebu tunaomba fuatiria uwanja wa ATARANTA pale Kenya umejengwa kwa Bei Gani?
2026-11-05 06:21:11
2
user3699328174378 :
CAG alitumia details zipi Hadi akagundua tofauti..
2026-11-05 13:14:33
1
Bieber :
SAIV WATU WAMESOM SIO ZAMN
2026-11-05 14:01:43
1
Rocky Interior :
kwa makadirio ya juu zaidi ya viwanja vya kimataifa ni $500-$800 per square feet
uwanja wa arusha unakadiriwa kua na 76,854 square feet
kwa $800 ni $61,492,000 sawa na 163 bilion Tz shls
kwanini itumike mara mbili zaidi ya viwango vyo juu zaidi duniani
2026-11-05 07:50:28
3
To see more videos from user @grandprofessor4, please go to the Tikwm
homepage.