jaman mm ilinikuta nililia kama siku tatu ya nne nilipo kuwa nakumbuka kuhusu yeye ninatukana nilitukana kama siku mbili nikajisikia nimekuwa mwepesi yaan kiufupi nimeachilia😁😁😂😂 ila nilitukana hasa
2026-11-22 16:02:18
0
🌸✨Giant ~Naiverah✨🌸 :
Mhh Hapanaa nitasamehe tu sio kutukana kwenye maharajas only msamaha umebeba mengi Sanaa piga magoti ombaaaa liaaa and Everything will be okey
2026-11-06 07:17:07
1
cham_didi :
Asante nafanya hivo Leo leo
2026-11-05 12:14:15
1
Sweet love :
Ishawahi kunisaidia ila nilikua na hasira sanaaa nikagoma, cha ajabu yeye alikua kuniomba msamaha baada ya siku tatu, ni Kama alikua ananiskia.
2026-11-05 06:33:58
1
Reyshaz Reyshaz :
Current Situation Aiseeeee
2026-11-05 20:38:39
1
gillian :
me nitaanza kulia upya jmn
2026-11-05 20:16:01
1
Mrs Imani :
😌😌😌 ni mzazi nitawezaje sasa
2026-11-05 16:44:15
0
Jackline Manka :
naomba mamba pls Eva mbona hivo
2026-11-06 14:23:05
1
A. Mowo :
asante
2026-11-05 07:08:28
1
esterswai680 :
Asante
2026-11-05 09:15:46
1
cheus gunda :
Dada,unaacha tuu ila ninacho jua unakuwa mbali kidogo na upambane na maisha yako,peleka hela ya kasukari,na usiongee naye maneno mengi na mungu atakubariki
2026-11-06 03:31:58
0
thug joe🐾🍁 :
💯🫶
2026-11-05 19:23:58
2
Kingdom plantae :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
2026-11-05 15:05:00
0
Annie :
💪💪
2026-11-10 12:49:51
0
To see more videos from user @evamrema2, please go to the Tikwm
homepage.