@emmanuel.page5: Mahakama imetoa maamuzi ya kubatilisha vifungu vya sheria” education(corporal punishment)Regulations, inayoruhusu adhabu ya viboko mashuleni(fimbo zisizo zidi4),vifungu no 2,3 pamoja na 6 na kusema adhabu hiyo ni kinyume na katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania kua zinakiuka ibara ya 12 na 13(6)(e) ambazo zinaweka wazi kua binadam wote ni sawa na hakuna mtu anaepaswa kuteswa….nini maoni yako katika hili
iv mahakama inaweza kufuta sheria au inaweza kutunga sheria au inangilia majukumu ya bunge?
2026-11-05 13:22:41
1
grazier :
Asanteni walimu wote mlionichapa na kufanikisha mimi kua Daktari. Nawashukuru sana na Mungu awabariki kwani bila nyinyi sijui ningekua wapi mimi. Asanteni Walimu
2026-11-05 07:46:40
7
eddy mbije :
apo niludi shule sasa
2026-11-05 06:51:32
4
iringa :
nikikumbuka nilikula fimbo kama mtumwa wa slave tarde 🥺 naumia
2026-11-05 11:58:02
1
Ince_Africa :
wamesubiria ad nimalize shule sio
2026-11-05 11:46:33
4
user20991425096144 :
safi sana walimu watumie maarifa kuwafanya watoto kuwa watiifu sio lazima viboko
2026-11-05 13:49:29
0
Generally Dangote :
na mimi niliepigwa ? mpaka 2014 naruhusiwa kufungua kesi
2026-11-05 12:52:02
0
Kraus_blax :
Out-of-School Suspension
2026-11-05 05:54:35
3
Dreamer :
hii wanafunzi wasiione
2026-11-05 14:08:14
1
𝐂𝐥𝐚𝐬𝐬𝐢𝐜 𝐜𝐚𝐫𝐬 :
mh watoto wetu watakua wajinga
2026-11-05 11:39:54
1
Alex Sichone :
baada ya hapo itafuata ngazi ya familia. Baba ukimchapa mwanao anakushtaki na unafungwa jela. Hii ni hatari sana
2026-11-05 13:02:27
2
A_OG :
Shule nliyosoma ina visiki na nyasi kibao😂
2026-11-05 12:23:56
1
Sailepu :
hawa watoto watazibitiwaje sasa
2026-11-05 06:00:59
3
Advocate Butemi :
tutazalisha kizazi cha hovyo sana
fimbo na maonyo huleta hekima
uzungu huo sisi bado, vichwa vya wabongo kazi kudeal navyo
2026-11-05 08:33:10
1
Patrick Bertine :
hongereni kwani mnafundisha mkajua changamoto za watoto kikubwa yakipigana,yakiuwana wala haiusu mwalimu kwani ni raisi kusema tuu ,mmeraisisha kaz maadili hayausu mwalimu hata kidogo ,juzi nimekuta watoto wanatiana vidole na ni wa kiume wote wewe ni mwalimu mwanasheria nisaidie hapoo........ningewaacha au ningewasaidiaje ili wakuwe kimaadili
2026-11-05 07:37:11
1
tatzoK :
Wazazi nao wataacha kuwachapa watoto wao ?
2026-11-05 06:34:45
1
youngson :
Turudi kwenye maandiko tu hizi sheria Hazifai kabsa
2026-11-05 14:18:44
0
user Frank :
Mbona bado watoto wanachapwa inabidi watoto wafungue kesi.
2026-11-05 13:28:34
0
Strait of Hormuz :
na nakala ya hukumu ibandikwe kwenye notes board kwenye kila shule maan walim hawatoi adhabu bali wanatuliza hasira zao wanapiga watoto kama mifugo
2026-11-05 14:47:30
0
Dr Winter. MD :
2026-11-05 14:27:48
0
BRAYSON Focus :
baada ya mm kumaliza ua
2026-11-05 14:20:51
0
lastory :
jamani viboko ni muhimu, bila ivo mim ningefeli sana maisha
2026-11-05 15:08:11
0
MaitaryaGee :
natafuta mwanasheria niwafungulie kesi walimu wote wanilionifundisha tangu primary,wanilipe fidia haiwezekan wanifanyie unyume wa katiba
2026-11-05 07:21:54
0
To see more videos from user @emmanuel.page5, please go to the Tikwm
homepage.