@kwayamtakatifustarry: elnino ya mbeya yazungumziwa🤣🤣🤣🤣#animalstories #aivideos #funny #fyp #tanzaniatiktok

KWAYA YA MTAKATIFU STARRY 😂🎤
KWAYA YA MTAKATIFU STARRY 😂🎤
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 05:51:14 GMT
34484
1568
53
105

Music

Download

Comments

user1119036179321
user1119036179321 :
Tuliokuwa dar tusicheke tafadhali mana tutalia bdae😂😂😂😂😂😂
2026-11-06 05:08:34
6
rayasnaturalproducts
Rayas products :
Hahahha nacheka kma mazuri😂😂😂😂😂
2026-11-06 04:44:17
0
user4800036121376
Ashiru bruhani :
kwani nyie wawapi ili ikija 2jue pakuanzia
2026-11-05 07:55:44
3
nginja_nginja4
nginja_nginja4 :
Ai ndo imemiss kuogelea sio sisi binadamu😁
2026-11-05 13:28:23
2
cook.food80
sela yuventuns :
mungu tusamehe kwa kweli
2026-11-06 10:14:26
3
user6198421051319
user6198421051319 :
sa mbon wanamtukan kiongoz wao
2026-11-05 10:57:17
1
chetuchuma0
CHETU CHUMA GSM :
😅😅😅😅mie nimeshanunua vichupi vya kuogelewa nakusubilia elnino nimess kuogelea😂😂😂😂
2026-11-06 16:33:51
0
user3441841593536
abira 2 :
Kila sk vilio😂😂😂
2026-11-05 05:59:52
0
...mpole..tz
.......mpole .tz...🤗 :
hapo Kuna mambo haya✌️
2026-11-05 10:02:09
0
majuramagati1
fox jr🙏 :
mtakufaaaa😂😂
2026-11-05 06:21:41
0
zulfah501
zulfa general store :
Wanaliaga nini haooo waumini mda wote😅
2026-11-05 05:59:03
3
dmtiso
Caden :
yaani tunafanya dhambi nne kwa wakati mmoja Ee Mungu wangu tunaomba utusamehe jifanye kama hutuoni Mungu wetu ni namna tu tunajichangamsha hatujawa serious hivyo mpaka tuyatake makubwa hivi tusamehe bure
2026-11-05 15:21:56
2
user61477549695484
ney 🌹🌹 :
msimtanie mungu jmn ikiwezekan mtengenez video elinin ikichukue ww tu
2026-11-05 07:33:54
2
leam_leach
Liam leach :
Hili kabisa lá Wapi jaman
2026-11-06 07:28:57
1
hamisi886
user6316002972033 :
jmn muache utani naserekali mmh mimi simoo
2026-11-07 07:48:35
0
user2362925654606
user2362925654606 :
kaz mnayo
2026-11-05 07:00:14
1
oxray.son.of.god
~REALITY🥹 :
jamaaaaaan😆
2026-11-06 07:55:23
0
angelmwandolela
baby angel💞 :
mungu kwann usilete iyo el nino kwa wanao ihitaji
2026-11-05 07:42:40
1
mohamed_yahya001
mohamed.yahaya63 :
wedogi haujui
2026-11-05 16:54:58
0
user2133014144950
@ummy ima :
hapana hilinjua jeee hatujamisi kuungua tukalikwa kama mishkaki
2026-11-06 07:03:03
0
user8495025901469
Timothy KT :
na hao wanaolia wanalia nini kusema tu ukweli
2026-11-06 19:00:29
0
fatuma.burushi
Fatuma Burushi :
😃😃😃😃yani ukiendelea kupumua katika hii Dunia utayajua hata usiyoyajua😂😂
2026-11-08 04:48:58
0
alianalugani
Aliana Lugani :
naomba namb
2026-11-08 17:09:52
0
violeth.humphrey
violeth humphrey :
[Big LOL][Big LOL]hili jua linadatisha wa2
2026-11-06 10:54:53
0
user6151792570913
gcar :
good💯..but usitumie msalaba au ishara ya dini yoyote itakuwa good zaidi ili usiwe umegusa upande flani wa watu🙌sorry ni wazo langu tuu🙌🙌🙏🙏
2026-11-05 06:09:36
0
To see more videos from user @kwayamtakatifustarry, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About