@mdugostore:

mdugo_store
mdugo_store
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 05 November 2026 06:13:52 GMT
136023
11115
369
1286

Music

Download

Comments

lizy.perfume1
@Lizy.scents. tz :
Siung’ate ya chanike me unanikwaza
2026-11-05 10:15:10
88
phetty_chego
phetty-chego :
mwanaume anaweza akakufikishia ujumbe kwa namna yeyote ile hapo ndio anamwambia mke wake upendo wake umeisha
2026-11-05 08:37:46
316
swaumomary6
swaum :
Mapenzi au hisia??
2026-11-05 07:56:26
83
cute0312
wardah 🦋🌸 :
uchumba wenyew naishii hayana bashasha ndoa sijui itakuajee[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-05 07:53:25
36
tildadedy
Matilda :
mmmmm kwangu haipo ivo bado tunapendana sanaaa🤩🤩🤩
2026-11-05 08:29:59
40
khadija68930
khadija :
kama mie yamebaki mazowea tu
2026-11-05 07:17:27
83
nomoredrama49
Peacefulsoul🤍 :
Si uchane hio karatasi bana aah naudhika🥺
2026-11-05 19:07:20
0
budidi345
@diana345 :
mimi niliolewa nikiwa simpendi kabsa yeye ndio alikuwa ananipenda sana ninachoshangaa nimempenda bila kujua 😂hiki ni nini sasahivi ndio tunapenda 😳 Duuuh
2026-11-05 08:13:48
9
raya.beauty.cosme
Raya beauty cosmetics :
Kwenye ndoa kotee ukoo hata kwenye mahusiano ya kawaidaaa tyuu😂
2026-11-05 15:02:33
5
peacandmoney1
BURACK💞 :
sema siku izi daaah ndio sawa mnatuambia ukweli hatukatai lakin kuna nmana mnatuvunja nguvu ambao hatujaolewa mnatufanya tuogope kuolewa mjue 🥹🥹🥹
2026-11-05 09:33:23
14
user36869660632820
05054443344 :
co mapenz ni HISIA,mapenz huw yako pale pale ila HISIA ndo zinapungua au kuisha
2026-11-05 08:40:09
14
mtusafi2
MTU safi😎 :
SABABU YA KUISHA MAPENZI KWENYE NDOA NI IPI?
2026-11-05 13:54:13
2
sonlady8
user463082622356 :
yanaishaga baada ya miaka mingapi maana saivi ninamitano lakini Bado yako shatashata kwaiyo nisubiri miaka mingapi?
2026-11-05 16:01:53
2
teluvenahmwaluko
Venah bouquet 💐 :
Kumbe walikuwa hawajui…. Waambie na majina hubadilika
2026-11-05 09:24:23
7
canyiiiii
Ms natty🇷🇼 :
Kweli umesema
2026-11-05 07:42:57
9
zurr0229
Zuri :
kwan hapa duniani tulikuja kufanya nini??
2026-11-05 09:38:24
0
sweetwin01
V NICE STORE POINT :
yanaisha baada ya mda gani maana 9yrs now bado hayajaisha ???
2026-11-05 10:15:30
6
vitenge.tz
vitenge tz :
Umeongea ukweli kaka...kweli.kitu kina mwisho
2026-11-05 07:23:04
10
user7979668504728
mars nyota7 :
mapenzi hayaishi na yakiisha ujue huyo sio wako tafuta mwanaume wafuture Yako
2026-11-05 17:17:36
2
biancamp28
bianca🌹🌹 :
Kweli bhana
2026-11-05 09:07:30
0
jescaemanuelrashi
🍏🍏Salma🦋🦋 :
sio kweli 😅
2026-11-05 15:54:50
0
sharckablackbeaut
Sharcka yummy :
na kimasihara ndo ushamwambia kuwa huumpendi mkeo ila sababu ya kuhesabu shiling ndomana yupo ndan kwako [Tears of joy][Tears of joy] sio wote broh hiyo ndo kipimo chako kilipofika Kuna watu mpka miaka bad wanamapenz na hisia na mwenzie
2026-11-05 10:01:44
1
sky2810__
Sky✿ :
Weeee mama gabby
2026-11-05 09:03:58
4
profesa.jerryfive
Profesa Jerryfive TZ🇹🇿 :
japo ukweli ni mchungu Iakini Kaka Umesema ukweli bila kuficha
2026-11-05 12:04:51
3
To see more videos from user @mdugostore, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About