mimi huwa naombea biashara yangu matokeo naota ndo nafirisika zaidi
2026-11-05 09:41:07
7
Aisherfaraj :
mm nikiomba mume mwema namwota niliye naye
2026-11-05 17:10:38
1
stony wambua :
uko serious 😳
2026-11-05 18:42:14
0
juliey :
niliota mtoto wangu kafariki kwa changamoto ya kufungwa na kitovu ni kweli akifariki kwa changamoto hiyo
2026-11-05 13:42:39
8
Liz big boy :
🙏🙏 very true,
2026-11-06 17:18:06
0
Angelina Nazi :
Asante
2026-11-05 14:56:49
0
Miss ethel🫰 :
Eeehh Congratulations to me in advance😊❤️
2026-11-05 12:13:06
5
somacha :
baba mimi nilikuwa nafanya mambo hayaendi......kuna siku nikaota mtu kuweka uzio mbele yangu nikamshinda nikauvuka...kesho yake mambo yote yaliyokuwa yamegoma yakawezekana yote mpaka nikaogopa
2026-11-05 11:48:48
11
officialrommy18 :
Niliomba sana kuhusu masomo Ang usiku mmoja nikaota yake masomo nimepass aiseee Mungu wa saa 9 aogopwe
2026-11-05 18:54:31
0
Dada Mkubwa :
mbona kwasasa naota ninaots nina watoto wachanga halafu na tunguo twao jmn
2026-11-05 13:26:32
0
angel🌹 :
niliota mwanaume wangu arud man tumeachna nikaota karidi na kaenda kutoa mahari mn alishapeleka barua na akanioa
2026-11-05 14:53:58
8
Deborah Nditi :
Nilifungaga nakuomboa mwenyez mungu anionsolee kila giza lilokua kwenye maisha yang litoeke na kila njia zilizofunga zifunguliwe jaman mungu anajibu nikaota ndan ya siku tatu kila nikitembea napotea njia mbele naona giza siku ya tatu yake nkaota nmepotea ila mbele nkakutana na mkaka nkamuulza njia akanionesha toka siku hyo mwenyez mungu alonitendea sitakaa kuacha kufunga na kusali
2026-11-05 21:17:49
4
user4359566963817 :
nikweli kabisa naamini ishawahi kutokea kwangu
2026-11-05 12:48:16
7
Eng.charie🧑🎓👷 :
ivi hizi ndoto nimekuwa niziziotw mara Kwa mara Zina maana gani wakuu,
yaani naota naokota hela tena nyingiiii yaani naokota naweka Kwa mifuko
nyingine naota nipo shuleni mazingira ya shuleni shule ya msingi na wale tuliomaloza nao primary na tunafaya moment za shule ila nakuwa Niko shule na nimevaa uniform za shule kabisa
nimeota izo ndoto mara mbili au tatu mfululizo sijajua Zina maana gani naomba mnisaidie wakuuu 🙏🙏
2026-11-05 13:13:26
0
chuchomerony :
Amina
2026-11-05 08:53:41
7
sue.e :
Niliomba mungu avunje uhusiano ambao sio sahihi kwangu nikaota mume wangu kanisaliti na hii ndoto huja mala kwa mala
2026-11-05 16:32:35
0
Miss Rachel🥰 :
mm nilimwambia Mungu huyu nilie nae aniache ndo akazidi kunipenda nikaomba Mungu aninyime amani nikiwa nae ndo amani ipo
2026-11-05 19:04:54
2
luevraj :
congratulations to me ❤️🥰.
2026-11-05 12:42:31
3
Sabaha❤❤❤ :
Mimi niliombea ndoa, nikaota kuwa nimenyang'anywa pete na cousin yangu😓
2026-11-05 13:53:17
3
Printmax Africa :
naombeni tofauti ya ndoto na maono
2026-11-06 13:24:14
1
janemueni678 :
naombea kazi ....nikaota ninauza mahali lkn bidhaa zile ni tofauti naniza taka kuuuza
2026-11-05 13:38:42
0
To see more videos from user @suleman_tz, please go to the Tikwm
homepage.