@itscarlue: "Kwenye ndoa, tunaishi na wanawake ambao sio wanawake zetu" ✍️ Credits: @denzo_production_ #itscarlue #foryoupağe #instagramreels

𝐂𝐚𝐫𝐥𝐮e ♾️
𝐂𝐚𝐫𝐥𝐮e ♾️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 06:29:49 GMT
80838
4438
166
543

Music

Download

Comments

user8179595982859
ms shop :
nasisi tunaishi nawanaume ambao sio wakwetu
2026-11-05 09:13:13
138
graceykanish7
gracie Kanini :
So most men just settle yoooh 😳
2026-11-05 09:35:15
16
officialhallaty_munnie
officialhallaty_munnie :
Huu ndo ukwel na hatuupendi kuusikia sio kila ndoa unapendwa
2026-11-05 08:06:15
102
angellah002
Angel :
jamn angellah tena 🥺🥺🥺🥺
2026-11-05 09:10:44
22
_.saada
SAKIM LUX beauty with elegance :
mturudishe kwa wa kwetu💔bas
2026-11-05 07:27:09
24
themist_hub
themist_hub :
Samahani naomba 2027 tupate content za Happily married people….🤦🤦
2026-11-05 13:53:47
0
lyza.kely
Hudairu😘 :
😂😂😂😂😂Ndio kbsa acha nitulie wangu atatoka kwa ndoa anikute kuliko kukimbia😂😂
2026-11-05 09:30:17
10
angeljb100
AngelJ :
Anjela tena jamani[Tears of joy]
2026-11-05 10:12:31
8
kathbert_96
cathbert :
nakuelewa Sana mkuu
2026-11-05 07:50:39
5
n3ssarh
Vanessadorcas🍸 :
kila sehemu ndoa ndoa jamani mnatutisha
2026-11-05 15:43:00
1
lubilovirginia
angela😍 :
kwann angela🤣
2026-11-05 11:46:18
2
shao2326
shao :
True man
2026-11-05 13:41:10
0
grecy.mwaituka
9090gz :
😁😁😁 kuwaelewa wanaume nikazi inamana pakaunafika atuwa yakuowa unakuwa ujampenda kabisaa mbona sikuizi mnatuchanganya
2026-11-05 16:33:58
2
ibraah.artisan
⚡𝙄𝙗𝙧𝙖𝙖𝙝 𝘼𝙧𝙩𝙞𝙨𝙖𝙣⚡ :
it's the absolute truth 💯
2026-11-05 07:01:58
8
sialema1234
Sia Lema :
hakuna Cha mwanamke wa ndoto unaachana na mwanamke pale unapoona mwanamke anakutegemea wewe kila kitu pasipokufikiria na kuangalia akili ya mwanamke wako kumbe ungemvumilia yule mke na kumuongoza kwa kutumia busara na akili nyingi kumbe hapo baadae ungefaidi baadae ya kumuacha na yule mwanamke akajitambua na kuamua kupambana na kupata mafanikio hapo unaanza kujikaumu kumbe umemuacha mwanamke sahihi bila kufikiri nawewe hapo umeshazunguka kwa wanawake wengi bila kupata kile unachotafuta unatamani kurudi wakati nayeye ameshapata mwanaume anayeweza kumuongoza jamani watu wajaribu kuwa vumilia wenzao kwa maisha mazuri nijinsi unavyopambana wewe mwenyewe hakuna anaekuletea maisha zaid
2026-11-05 14:46:17
0
washawasha016
jannat :
ata sisi tunaushi na wanaume si wetu
2026-11-05 14:12:40
0
dorry0166
dorry01🫆 :
Jaman sasa mm ni mtu wa nan aje anioe nisije olewa bat mbaya
2026-11-05 09:45:34
9
vickypretty2006
Vicky✌️🥰🫶 :
sio kweli usitake kusema walio oana awajaelewana hii mbona mnajiamlia
2026-11-05 08:56:24
2
official_jsm1
Miss Carolyn ♥️ :
Huu ni ukwel mchungu aisee🥹
2026-11-05 14:17:37
2
teddyfeliciandidas1
di@n@ Bl@ck :
kwel kabisa nandomana akipata anae mpenda kwadhat anaondoka anakuwacha yani tumuombee mungu sana atuongoze atupe watu sahihi🥺🥺🥺
2026-11-05 12:27:29
3
faycatie
faycatie :
Sasa sisi ni wanani wote si waMungu
2026-11-05 12:37:03
0
lindasaycollection_2
LINDASAY COLLECTION🛍️ :
kwaiyo anamuoa suzi alafu anarudi kuchepuka na angela?ok
2026-11-05 10:23:37
3
fatuma.elias0
Fatuma Elias :
kweli kabisa
2026-11-05 11:39:44
1
marrymwamwinuka
Marry Cute💰🥰 :
Ndo Mana Wanaume hawaachi Kuchepuka jaman dah🥺🥺🥺🥺
2026-11-05 10:03:33
3
___mayah2
___mayah2 :
Badoo hamjasemaa
2026-11-05 09:47:43
1
To see more videos from user @itscarlue, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About