@officialalitall: Leo katika TBT nawaletea hii ukiacha yote huu wakati Tanzania ilipitia wakati mzuri sana Zilibondwa Hadi mfumo ulishake niambie huu wimbo unakukumbusha kitu gani?
wa 2006 lkin nikiskia hiz hazina za kitambo napenda sana
2026-11-06 21:29:34
3
Supreme Crypto :
huu wimbo unanikumbusha wakati nipo nyumbani kijijini ukerewe mzee asubuhi na mapema sana unasikia kawasha redio wanaweka huu wimbo hku mimi najiandaa kwenda shule hakna kuoga ni kubawa uso tu na kupaka mafuta na kuva jezi za shule
R.I.P father
2026-11-06 19:45:36
1
wam :
siii shira star uyo jaman au nime ona vibaya mmi
2026-11-06 19:35:48
1
Zulfat Tamimu :
tulikuwa tunainjoe sana kuchek nyimbo zenye maadili 💋
2026-11-05 13:13:18
4
erasto :
bonge la nyimbo love songs
2026-11-06 04:11:55
1
Thomas Deogratius :
da kitambo sna salut nyingi sna kwa hili goma
2026-11-07 12:23:02
0
KharashoKhasam :
Miongoni mwa nyimbo yenye kumbukumbu nyingi ni hii .
2026-11-06 15:05:23
1
💸 gekyume :
AT(tz) so poa
2026-11-06 16:38:28
0
issa :
2009
2026-11-05 22:03:28
2
zaral ♪ Irfan♾️ :
prime AT were something else 🔥🔥🔥🔥🙌🙌
2026-11-06 17:19:15
1
Uncle Vinny :
Sema huu Mgoma @🙌🙌🙌🙌
2026-11-05 18:47:52
1
Don mbarak :
classic song
2026-11-06 02:32:11
1
HIS QUEEN👸 :
HUNA BAYAAA NDUGU YANGUUU
2026-11-05 07:05:20
2
Wamoja Mkali :
🥰🥰hataree
2026-11-05 20:07:10
1
Ramaa :
Nyimbo special kwa ajili ya malaji. 6/7 flani mchana 🔥
2026-11-05 21:49:17
1
Mwaya jr 🇹🇿 :
noma sana
2026-11-06 12:03:45
1
Mara boy :
AT
2026-11-06 21:26:12
0
Mary_masanja :
hii nyimbo nlkuwa naipendaga utoton😅
2026-11-07 18:00:38
0
fanuel :
Mwanangu Emma na Rajjy wakiwa vidudu😁
2026-11-06 22:28:38
0
mr,sematena :
Kuna dada mmoja nilikua nampenda wakat nasoma daah AT FT STARA THOMAS
2026-11-07 18:00:06
0
Ramax Madebe :
Nyimbo yang pedwaaa🤣🤣
2026-11-07 14:10:09
0
mr_forever_3090 :
Kipindi hicho [Teary eyed] dah
2026-11-07 17:43:28
0
KHAMONA :
hii ngoma umeotokea sana
2026-11-05 20:54:41
0
To see more videos from user @officialalitall, please go to the Tikwm
homepage.