Ila mimi nashangaa mbona mimi niliondoka mtupu kwenye ndoa wakati huo mume wangu alikua anamiliki hoteli lakini aliuza hadi nguo zangu ,hadi michezo ya mtoto.baada ya mwaka yeye alipoteza kila kitu hapo alipo amebaki na pumbu tu.
2026-11-05 10:18:21
59
Mama G :
kuna ndoa zingine ni nuks na mikosi tuđđđ
2026-11-05 09:53:28
106
trillion1112 :
Bora ww ulikua na kwenu sisi wengine hatuna kwetu hatujui twende wap
2026-11-05 22:01:01
85
Smesha_actressđĻ⤠:
tunaondok na watoto au tunaacha wabak kwao
2026-11-22 13:08:15
1
Gracious :
Yani wewe ni kama Mimi Jamani hata chupi nilikua Sina
2026-11-05 12:55:23
4
Pee-tuza :
Ukitaka kuondoka unatoroka au inakuwaj
2026-11-06 13:58:53
1
Jamilah Mohamed :
Nikikumbuka ndoa đ¤Ŗđ¤Ŗđ¤Ŗđ¤Ŗđ¤Ŗđ¤ŖUwa nachekaga xn ilinifanya niwe na Muonekano kama wa mama ndege au katoon ya rango nilizeeka nilikonda kama naumwa Ukimwi Sugu yaan Nimeamin ndoa c Baraka tangu nitoke nakuta Baraka zinamiminika Auwez niambia ndoa ni baraka
2026-11-07 19:46:11
7
queen of loverđĨ° :
mm nakuelewa mana nimeondoka na watoto wangu wawili wadogo milango ya baraka ndo naiyona kiukweli
jamani mimi naomba ushauri mmewangu amanisaliti nawanawake zaidi ya mmoja ila hajawahi kulala nje na nikimpigia mda wowote anapokea nanikimwambiA kunashida anakja haraka anahudumia familia vixuri je nimuache au? na nina watoto wawili
2026-11-13 13:01:41
0
zeynab đĻ âĨī¸đ :
ukwelii mchungu one day nikika vizuri financialy nitakutumia hela ya sodaa
2026-11-05 08:31:49
7
Gbabyâ¤ī¸ :
ni Mimi kabisa niliacha Kila kitu nikachukua talaka tu đđ nilianza upya sikuweza kurudi nyumbani sababu nyumbani ndo wananitegemea nikaona nitavunja moyo wa mama angu đđ nilitanga Tanga sana mji wa Arusha japo sikua na ndugu nilijuta kuolewa mbali na kwetu
2026-11-05 12:38:54
8
mukiri :
habari ndio hiyo, kazi kwangu
2026-11-11 16:35:09
0
MNGONIđĨ° :
mimi watoto ndo wananifunga
2026-11-20 12:41:55
0
munira :
Mm nakuelewa nimepita huko, waambie wakuelewe.
2026-11-23 08:08:28
1
hayoo :
Kuondoka kwa akina ndoa si maamzi ya kawaida ni magum sio poa
2026-11-22 21:50:39
2
Mama dangote :
Huenda dada wewe ilikuwa ndio nyota na umesomađĨēđĨēđĨēđĨē
2026-11-24 07:16:38
1
Rabiah_31 :
Guys tupeane na connection
2026-11-15 18:59:28
3
Swaumu Abdallah :
tuinue na sisi single mother
2026-11-05 07:21:41
4
blanka :
tumeanza upyaaa dada đđ ni maamuzi magumu sana yanahitajika .....tuna amani tuna furahia na hatujawah kupungukiwa đđ....nimeondoka bila kuaga na nguo zangu tu đđ
2026-11-07 12:44:51
4
Rahila :
ishuu ni deep[Tears of joy]
2026-11-05 14:15:58
1
Joyce Lucas :
Ukitoka naujue kilichosababisa utoke ukiaza kwa malengo pia umutangulize mngu yote yanawezekanađ
2026-11-08 18:36:20
2
Judith Kileo :
Hata mm nimetoka kwakina ndoa mwez wa nne mwaka jana na sasa hv niko vizur kuliko kwakinandoa
2026-11-06 05:12:39
4
Mag Dzzy :
ata me nimeacha kila kituu niliondoka na nguo nilizo vaa tuu
2026-11-06 03:45:47
3
To see more videos from user @dorcas.caretz, please go to the Tikwm
homepage.